Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule


Hivi hii story ni ya mwaka gani?? Yani ulikwenda huko miaka ipi?
 
sawa jamaa ake khumbu!! ngoja ajee
 
mkuu agiza pepsi kwa mangi . hapo nakuja kulipa
 
Bado wale wasomali wa ka "Western union" ka mtaani wanajiita Daharshbil nadhani hivi bado wapo??? Au upepo wa JPM ulipita nao

Ilikua ndo mkombozi wetu tukiwa DXB na Qatar kutuma hela nyumbani kwa gharama nafuu
 
Kwa hiyo alifikiri wewe ni ....
 
Hao madogo wa manzese ulivyowataja moyo umelipuka paaaa!!!!! Nikiangalia mwaka napata majibu kadhaa. Hadithi ya kweli hii hakika. Twende sehemu ya 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…