Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kwani mnazuiwa kumiliki?.
Ukipambana ukawin maisha unaweza kuwa na vyote uvitakavyo pasi kuhamasishwa.
Hatuzuiwi...zamani ilikua ninnadra sana mwanamke kumiliki ardhi...hapa niko kukumbushana na wanawake wenzangu mkuu tusiishie kununua wigs .relax
 
Binafsi umiliki wa mali au aridhi najaribu kuweka kijana wa kike/kiume wote wamiliki pasipo kusahau mahusia ya maandiko Biblia ambayo ndiyo msingi wa maisha ya binadamu.
 
Ya Mungu apewe Mungu..na ya Kaisari.....
 
Page ya 268 Mkuu
Huyu pia anaitwa KANYA na yupo south Africa kwa mujibu wa FACEBOOK
Screenshot_20210420-220001.jpg
 
Back
Top Bottom