Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mkuu nilikuomba uweke links za episodes pale juu inaturahisishia.
Tunapata kazi kutafuta muendelezo....yaani upitie comments zote ndo uje kupata. Inachukua muda
Yani huu mtindo wa gazeti la mzalendo la miaka hiyo sijui wameutoa wapi
 
Mkubwa nina kama Nyundo 2 hivi na misumali kadhaa sijakanyaga mitaa ya Pta. Vipi wale wamasai waliojazana mitaa ya Bosman karibu na park station bado wapo? Mara ya kwanza kuwaona wamasai hapa kaburu ilikuwa ni mitaa hiyo. Afu hawa jamaa ninachowapendea wao unga, bangi usiwatembezee, kazi au shughuli yao kubwa ni kusuka. Wakikamata kichwa mkongo mwenyew anangoja. Wanachoniuzi wakitembea wanakuwa wengi wengi kama mabata. Mkubwa ukimaliza stori zako karibu jozi kwa watoto wa "mbwa mwitu" uone tunavyowakalisha wazawa, na masela koko kutoka nchi Mbali mbali za East, South, North and West. Sisi ndo wabongo original kutoka Mburahati to Mabibo ilipoanzia komando yosso, Red Soldier. Wape hi watani zangu wote watoto wa kinondweni kina baba ubaya, marashi ya pwani, sefu kalawa nk, yu no wari am say!!
Wazee wa Nakoz Camp
 
Back
Top Bottom