Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

watu mkiwa serious kidogo kwenye nyuzi kama hizi mnaweza kujifunza mengi sana yanayoweza kuwasaidia na hatimaye kuokoa maisha...userious pia unafanya watu wawe huru kuandika na hata kusaidia aka kutoa codes...

Dada zetu, mama zetu, nk kudanga sio kutafuta maisha bali kudanga ni UMALAYA tu au kuuza utu wako...haipendezi kuishi kwa kusubiri eti mwanaume mwenye maisha mazuri basi wewe ndio uishi, HAPANA, acha itokee just for love not otherwise... zipo namna nyingi kwa mama, dada zetu kupambana na kutengeneza maisha binafsi pasipo kuzalilisha utu wako, inapendeza siku una kila kitu kwa kupambana mwenyewe pasipo kuishi kwa favor... utumwa ni utumwa tu, kama mtu amekupata kwa cash yake basi moyoni kwake wewe ni mtumwa aka sex machine aka incubator....
 

Tumekuelewa sana bro! Tuhamasishane....wanawake na sisi tumiliki ardhi na makorokoro yoote...inawezekana
 

Keagan ndugu yetu leo usiku tupe full Dose tupe nyuzi za kutosha jana tume amka Sana usiku mkubwa tukawa tuna kuta bila bila
 
Mkuu unawaza kiume.Kwa akili ya kike anaona sawa.

Siku hizi wanakwambia "My body my choice ".
 
Fanya yako ndugu yangu wanaotaka kufanya umalaya waache. Kila mtu apambane na hali yake
 
Mkuu Wasomali huwa wanapeana michongo sana halafu ni wasiri sana utawakuta majira ya jioni wanatafuna mirungi kumbe ndio wanapeana taarifa Afrika nzima wapo halafu wanawasiliana
 
Tumekuelewa sana bro! Tuhamasishane....wanawake na sisi tumiliki ardhi na makorokoro yoote...inawezekana
inapendeza kwa akina mama kumiliki uchumi na kukaa kwenye round tables making the right decision somewhere....lakini sio kujisifia kumiliki uchumi just for hook-ups, ni historia mbaya kwa kizazi chako...(watoto wanakua wakijua mama ni mdangaji na alimpata baba baada ya kudanga but not because dad loves her) ( INAUMA SANA)...waongoze watoto na jamii kwenye njia njema..

Mama, dada zetu mnavyoona maisha magumu kwenu ni hivyo hivyo kwetu akina ME ndio maana mnaona tunahusstle kwa kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka wala kuchagua kazi... inatakiwa iwe hivyohivyo kwenu kujituma bila kuchoka na kutimiza majukumu yenu kama akina mama..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…