Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mkuu umenena vyema sana [emoji119]
 
Pole hujapata mwanaume wa kukukunja vizuri pia hujapata mwenye tango nene pole sana dada ila ukipata mda njoo kwangu ili ukasimulie wenzio
Huyo binti Nakukunda achana naye mkuu, yupo smart sana.
Amebarikiwa kila hitaji la mwanamke alihitajilo lakini hana papara, nimewahi kufanya nae biashara miaka mitatu iliyopita japo haikufanikiwa lakini ni muungwana sana.
Naomba muepushe kwenye lugha uliyo itumia mkuu
 
Sitasahau mwaka 2003 nilipotumia ada ya shule kwenda South Africa na kukwamia Lisaka-Zambia.
Nilitumia akili nyingi na kufanikiwa kuishi katika kambi ya jeshi la anga la Zambia (ZAF) kwa muda wa siku 40 wakati raia asiekua mzambia alikua haruhusiwi hata kuingia mapokezi ya getini. Ubarikiwe sana Mohamed Mushiri Mwanajeshi muislamu pekee aliekua kwenye kambi ile kwa wakati ule. Mwenyezimungu akiamua kukulinda hata ikulu utaishi kwa raha zako.
 
Teh teh Anko kama Anko kaandika mimi ni nani nipinge.
 
Ifike mahali tupinge nguvu ya hawa malaya, halafu wao kitu kidogo wanatukana na kufoka

Najiuliza zaidi ya kuwa malaya wao ni mani hasa humu!!!
 
Hahaaa hii wengi humu ni vichwa maji hawezi ng'amua hii, wamekalia ushabiki panzi tu
 
Kaka nimekukubali sana mipango yako, unataka uwe mzigo kwa mwingine [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sehemu alekwenda lethoto Ni kioande Cha ngapi mnk naona Kuna kipande kimeniruka
 
Umetisha mkuu, kama kweli kila unapoenda unaacha mbegu! Basi wewe ni Samurai kweli kweli.
 

Mweeeee.. nyie wenzetu mmeumbwa namna gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…