Mkuu wewe umesema umeishi South Africa miaka kibao (binafsi sina shaka na hilo kabisa) ila unayoandika hapa ni kama vile sio msafiri wa pande zile.
Kama unaelewa vizuri,wabongo siku hizi hawapewi siku nyingi wanapoingia South hata kama ni first time,yaani siku hizi unapewa one week mpaka two weeks basi tofauti na kitambo,
Ila mabaharia wakishaingia tu South,wanakaa mwanzo mwisho bila kwenda kugonga tena wala kuwa na document yoyote ya kuishi kule.
Hakuna sehemu hatari kuishi bila vibali ndani ya South kama Jozi,maana kuna jamaa wanaitwa SECTOR 2,daily wapo mitaani kukamata watu wasio na vibali lakini bado kuna mabaharia kibao wapo hapo hapo jozi bila kibali chochote miaka nenda rudi na wanapeta tu,sasa wewe unashangaa nini mtu wangu?
Kingine kama umepita boda za South,basi lazima utakuwa unajua kwamba pesa ndio mchawi pande zile,yaani ukiwa na mkwanja tu,unaingia bila hata hiyo passport,sembuse kuwa ime expire?
Halafu nimeshangaa zaidi uliposema polisi wanachana asylum permit (MPANGO),mpango original ambao umetolewa na Home Affairs police anaanzaje kuuchana?hiyo asylum permit inatumika mpaka na maboss wa kiEthopia/Wahindi wenye miduka mikubwa na biashara nyingine kubwa tu South,halafu unasema mpango hausebenzi kaburu?..watu mpaka mahakamani wanatoka na huo huo mpango,
waliokupigia story za police kuchana mpango walikuwa wanakuzingua tu mwana!!