Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kweli kabisa bosi umenena ya kweli kabisa! Hivi moderators sijui hawawaoni au na wao ni wateja wao?!
Yan huwa nashindwa kuelewa hata hawamuonei huruma boss was melo kila siku mahakamani kwasababu ya matumizi mabaya ya huu mtandao.

Sema Hawa Malaya nao wajifunze waache ujinga wao wa kuanza kujiuza kwa gia zao eti ukipata nn sijui nn Mara mwez ujao mie lazima niende kumbe wanatafuta mtu ajilengeshe pumbavu zao
 
Ifike mahali tupinge nguvu ya hawa malaya, halafu wao kitu kidogo wanatukana na kufoka

Najiuliza zaidi ya kuwa malaya wao ni mani hasa humu!!!
Kuna nyuzi Kama hizi ndefu niliwakataa waziwazi mzee wanamatusi hatari Mara wanakuja PM wanakushambulia kwa matusi eti Kama huna hela kaa kimya Yan Hawa Malaya n hatari Sana humu yupo mmoja anajidaigi kuwa anajua kutafuta kumbe ndo kubwa lao humu nasema PUMBAVU zake ajifunze
 
𝗬𝗔𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗦𝗜𝗝𝗨𝗜 𝗪𝗔𝗣𝗢𝗝𝗘! 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗗𝗛𝗔𝗡𝗜 𝗠𝗧𝗨 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗘 𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗔𝗡𝗗𝗜𝗞𝗔 𝗧𝗨 𝗔𝗦 𝗜𝗙 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗠𝗟𝗜𝗣𝗔...𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗔𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗔𝗡𝗔𝗔𝗡𝗗𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗡𝗜 𝗣𝗢𝗔 𝗧𝗨...𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗔𝗞𝗜𝗔𝗠𝗨𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗨𝗔𝗡𝗗𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗜 𝗡𝗔𝗢𝗡𝗔 𝗣𝗢𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗝𝗨𝗔 𝗞𝗨𝗞𝗘𝗥𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔...𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗨𝗠𝗞𝗘𝗕𝗘𝗛𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗦𝗜 𝗝𝗨𝗨
@𝗞𝗲𝗮𝗴𝗮𝗻 𝗽𝗮𝘂𝗹
𝗞𝗮𝗺𝗮 𝘃𝗶𝗽𝗶 𝗸𝗮𝘂𝘀𝗵𝗮 𝘂𝘀𝗶𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗲 𝗸𝘂𝗮𝗻𝗱𝗶𝗸𝗮
Nakuunga mkono, nchi hii kuna upumbavu uliopitiliza
 
Yaaani na haya matatizo ya ajira ilitakiwa kila graduate akipewa cheti anapewa na gamba lake akiamua akafie mbele huko au aliweke chini ya godoro liliwe na panya

Na vijana wakizamia huko mbele wakirudishwa hapa(deported) hamna kuwafunga wala kesi wamwage mtaani waanze upya kutafuta chaka nyingine za kulowea

Sasa wao na mentality yao ya kikomunisti wanasema passport ni dokumenti ya kiusalama.....mawazo ya miaka ya 70 huko😂😂

Nakuhakikishia miaka 10 tu matokeo tungeyaona. Familia nyingi sana zingekua na msaada kwa diaspora sio kama saivi vijana wamebaki kuwa mzigo kwa familia

Bila "Conquering new frontiers" hatutoboi ng'o

Kina Livingstone, Speke,Stanley nk bila kuja kufanya upelelezi mpaka Ku(tu)gundua wala sio Mjeruman wala Muingereza angejua kuwa kuna watu bado washamba wanatakiwa kutawaliwa kuwa makoloni kwa manufaa yetu(wazungu)

Wale ni vijana walijilipua kuja sehem unknown to the world na waliua,walifanya kila aina ya unyama nqwengine walifia huku ila walileta mafanikio kwa mataifa yao.

Sio kujifungia tu huko kijijini Matombo toka umezaliwa mpaka unakufa kwa ajili ya uoga
Kwa jinsi kwasasa watoto walivyomizigo kwa wazazi wao hata sitamani kuwa na mtoto
 
Mtoa mada mimi kama mimi hata sina muda na kujua kama ni kweli au laa

Tunakuomba umalizie tu maana kila tukija tunaona uzi unatembea kwa spidi afu tunakuta mambo ya ajabu ajabu.....
Mara huezi kuish jberg muda mrefu utashikwa ....mara ilikuaje hv ikawa vile

Kama ilikua chai basi tu ila tunasoma kupanua fikra kwa sisi ambao tumekaa mkoa huohuo miaka nenda rudi
 
Naunga mkono hoja
 
Kuna watu ni wajuaji sana, wanachokiamini wao wanataka kila mtu akiamini, waliyopitia wao wanadhani kila mtu lazima hayapitie, brother wewe shusha story iwe uwongo ama ukweli potelea pwete.
 
Oyaaaa! Umefumaniwa na kanya au niaje! Malizia ctory basi acha uzwa zwa
 
Tatizo la watu humu JF wanapenda kusikia kile wanachotaka kusikia. Mtu ukiwa na mawazo kinzani kidogo japo ya kuwasaidia wanakuona kama umekuja kuharibu stori wakati hayo mawazo huenda yakawasaidia vijana ambao wengependa kujaribu bahati zao nje ya nchi. Story ya bwana Keagan Paul ni nzuri sana na inatoa darasa kwa vijana wenye ndoto za kutaka kusaka maisha nje.

Tatizo kuna details ambazo kuna watu humu huenda wakazichukua kama zilivyo bila kuchanganya na za kwao wakajikuta matatani. Naweza kusema bwana Keagan alikuwa na bahati sana tena sana, nadhani waliokaa South Africa watakubaliana na mimi kuwa alikuwa na bahati sana. Kitendo cha kuishi bila permit halafu unajiachia hivyo ni bahati sana kusurvive.

Kwa hiyo vijana wale mnaotaka kwenda huko muwe makini, bwana Keagan kama aliweza kujiachia bila permit msidhani maisha ndio yako hivyo, utadakwa dakika moja tu na kupelekwa sehemu inaitwa Lindela kusubiria kuwa deported. Kama nilivyosema kitendo cha kusafiri kwenda Lesotho wakati viza imeexpire ni bahati ya mtende na pia nampongeza sana kwa huo ujasiri.

Viza ikiexpire ukiwa ndani ya nchi ni kesi kubwa sana halafu akaamua kusafiri kwenda nchi nyingine wakati anajua hata kibali cha kuwemo nchi husika hana, huo ni ujasiri mkubwa sana na nachelea kumpa pongezi maana alikuwa kama anajiweka kwenye mazingira ya kurahisisha ukamatwaji wake.

Kwanza najiuliza walifikaje boarder ya Lesotho bila kukutana na roadblock hata moja na kukaguliwa ID zao? Pili yule immigration officer wa upande wa South Africa aligongaje exit stamp bila kumkamatisha kwa kosa la kuishi nchini illegally, najua amesema aliweka rand 300 kwenye passport.

Haya wakati wa kurudi aliwezaje kuingia tena SA wakati viza ilishaexpire? Bwana Keagan ukipata muda naomba uelezee kidogo kuhusu issue ya kutoka na kuingia tena South Africa wakati viza imeisha ili vijana wajifunze maana kuna wengine wanaweza kudhani kuishi bila vibali South Africa sio tatizo wakati ni tatizo kubwa sana linaloweza kuwapeleka jela.

Viza ikiexpire kisheria huwezi kurenew ukiwa ndani ya ardhi ya South africa hata kama unatoka SADC lazima utoke nje, na utapata misukosuko sana.

Mkuu wewe umesema umeishi South Africa miaka kibao (binafsi sina shaka na hilo kabisa) ila unayoandika hapa ni kama vile sio msafiri wa pande zile.

Kama unaelewa vizuri,wabongo siku hizi hawapewi siku nyingi wanapoingia South hata kama ni first time,yaani siku hizi unapewa one week mpaka two weeks basi tofauti na kitambo,

Ila mabaharia wakishaingia tu South,wanakaa mwanzo mwisho bila kwenda kugonga tena wala kuwa na document yoyote ya kuishi kule.

Hakuna sehemu hatari kuishi bila vibali ndani ya South kama Jozi,maana kuna jamaa wanaitwa SECTOR 2,daily wapo mitaani kukamata watu wasio na vibali lakini bado kuna mabaharia kibao wapo hapo hapo jozi bila kibali chochote miaka nenda rudi na wanapeta tu,sasa wewe unashangaa nini mtu wangu?

Kingine kama umepita boda za South,basi lazima utakuwa unajua kwamba pesa ndio mchawi pande zile,yaani ukiwa na mkwanja tu,unaingia bila hata hiyo passport,sembuse kuwa ime expire?

Halafu nimeshangaa zaidi uliposema polisi wanachana asylum permit (MPANGO),mpango original ambao umetolewa na Home Affairs police anaanzaje kuuchana?hiyo asylum permit inatumika mpaka na maboss wa kiEthopia/Wahindi wenye miduka mikubwa na biashara nyingine kubwa tu South,halafu unasema mpango hausebenzi kaburu?..watu mpaka mahakamani wanatoka na huo huo mpango,
waliokupigia story za police kuchana mpango walikuwa wanakuzingua tu mwana!!
 
Sitasahau mwaka 2003 nilipotumia ada ya shule kwenda South Africa na kukwamia Lisaka-Zambia.
Nilitumia akili nyingi na kufanikiwa kuishi katika kambi ya jeshi la anga la Zambia (ZAF) kwa muda wa siku 40 wakati raia asiekua mzambia alikua haruhusiwi hata kuingia mapokezi ya getini. Ubarikiwe sana Mohamed Mushiri Mwanajeshi muislamu pekee aliekua kwenye kambi ile kwa wakati ule. Mwenyezimungu akiamua kukulinda hata ikulu utaishi kwa raha zako.
Fungulia uzi km hutajali
 
Mkuu wewe umesema umeishi South Africa miaka kibao (binafsi sina shaka na hilo kabisa) ila unayoandika hapa ni kama vile sio msafiri wa pande zile.

Kama unaelewa vizuri,wabongo siku hizi hawapewi siku nyingi wanapoingia South hata kama ni first time,yaani siku hizi unapewa one week mpaka two weeks basi tofauti na kitambo,

Ila mabaharia wakishaingia tu South,wanakaa mwanzo mwisho bila kwenda kugonga tena wala kuwa na document yoyote ya kuishi kule.

Hakuna sehemu hatari kuishi bila vibali ndani ya South kama Jozi,maana kuna jamaa wanaitwa SECTOR 2,daily wapo mitaani kukamata watu wasio na vibali lakini bado kuna mabaharia kibao wapo hapo hapo jozi bila kibali chochote miaka nenda rudi na wanapeta tu,sasa wewe unashangaa nini mtu wangu?

Kingine kama umepita boda za South,basi lazima utakuwa unajua kwamba pesa ndio mchawi pande zile,yaani ukiwa na mkwanja tu,unaingia bila hata hiyo passport,sembuse kuwa ime expire?

Halafu nimeshangaa zaidi uliposema polisi wanachana asylum permit (MPANGO),mpango original ambao umetolewa na Home Affairs police anaanzaje kuuchana?hiyo asylum permit inatumika mpaka na maboss wa kiEthopia/Wahindi wenye miduka mikubwa na biashara nyingine kubwa tu South,halafu unasema mpango hausebenzi kaburu?..watu mpaka mahakamani wanatoka na huo huo mpango,
waliokupigia story za police kuchana mpango walikuwa wanakuzingua tu mwana!!
Mkuu soma substence ya comment yangu. Pitia mara mbili tena labda utanielewa nilichoandika.
 
Pole hujapata mwanaume wa kukukunja vizuri pia hujapata mwenye tango nene pole sana dada ila ukipata mda njoo kwangu ili ukasimulie wenzio
Aiseee

Hongera sana

Nakushauri tu huwezi shindana na sehemu inayopita kichwa cha mtoto na ukasema umeikomesha...utajichosha tu.

Na ngono sio sifa brother tafuta mshiko

Zaidi ya yote mpe Yesu maisha yako
 
Back
Top Bottom