Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mkuu ebu ningate sikio
No,kuna wadada humu wanajielewa na wanaheshimu. na kama kutaniana inakuwa kidogo kila mtu anaendelea na ishu zake.

Kuna mmoja ni mjuaji sana kila thread yenye traffick kubwa yupo na anastori nyingi ambazo ukizisoma ni za kuunga tu ile awe relevant na kila uzi humu jf..Personally nimemgu-ignore/block.
 
Ww ni mmoja ya watu mlioharb huu Uzi na Dada zako hao baada ya kuanza kuwasifia ujinga kwahy mnataka muharb Uzi tuwachekee kwa kuwaogopa au ukiweka mguu tunaweka shoka
Nimeharibu wapi,mbona kwenye huu uzi mimi ni msomaji zaidi? Nasoma zaidi kuliko kuandika.
 
No,kuna wadada humu wanajielewa na wanaheshimu. na kama kutaniana inakuwa kidogo kila mtu anaendelea na ishu zake.

Kuna mmoja ni mjuaji sana kila thread yenye traffick kubwa yupo na anastori nyingi ambazo ukizisoma ni za kuunga tu ile awe relevant na kila uzi humu jf..Personally nimemgu-ignore/block.
Umesema wanawake lakini.nikajua Ni wanawake tunaochati humu including me
 
Basi jamani tupunguze ku comments na maswali ambayo hayana maana yani uzi unajaa comments na maswali mengi pages zinakua nyingi for nothing tuweni wapole tumuachie jamaa uwanja atirirke akimaliza ndo maswali yataanza na yy atayajibu kwa ufasaha kwani stori kashamaliza na anakua na nafasi yakujibu maswali tuuu.

Tuache tabia yakua na gubu laku comment kwenye kila thread na ww mtoa story umekua kimya sna tunaamini utarudi kwa kishindo na utakua umejitahidi kuimalizia hii story au kama imebaki itakua ni kidogo sana. Jitahid uimalizie story uliyo ianzisha hakika tume furahishwa nayo na nakupongeza kwani mpaka sasa umejitahid kuchambua vzr sanaaa.

Basi waungwana naitishe kusema tupunguze comments ambazo kimsimgi hazina maana na kama unaswali subiri amalize story yake baada ya hapo tutakua na uwanja mpana wa kuuliza na kujibiwa maswali yetu. Keagan Paul jitahidi leo usitu pitishe mswaki.
 
Mkuu fungulia uzi kama hutojali,?!
Kuna nyuzi Kama hizi ndefu niliwakataa waziwazi mzee wanamatusi hatari Mara wanakuja PM wanakushambulia kwa matusi eti Kama huna hela kaa kimya Yan Hawa Malaya n hatari Sana humu yupo mmoja anajidaigi kuwa anajua kutafuta kumbe ndo kubwa lao humu nasema PUMBAVU zake ajifunze
 
Mkuu nipe list ya stori zilizowahi kukimbiza humu JF hata za zaman before ile ya KHUMBU maana zamani nilikuwa sifatili sasa huu wa PAUL naona speed yake ya kuandika imeanza kuwa na mashaka.

Pia uniambie nyuzi,hizo zinapatikana jukwa lini.

Asante
Mbona mnakwama kwama alie simulia kisa chake bila kukwama ni holy holm
 
Mkuu nipe list ya stori zilizowahi kukimbiza humu JF hata za zaman before ile ya KHUMBU maana zamani nilikuwa sifatili sasa huu wa PAUL naona speed yake ya kuandika imeanza kuwa na mashaka.

Pia uniambie nyuzi,hizo zinapatikana jukwa lini.

Asante
Mi hata sijui kulink aisee ila mtafute huyu mkuu ndo utaukuta au ingia jukwaa la hoja mchanganyiko
 
Back
Top Bottom