Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Labda upite Mlanje Malawi au vuka boda ya Muanza hadi Tete then anza kushuka chini kuzitafuta kona za limto liuaji kwa mamba
Oya naskia mlima mlanje una story flani kwamba mizimu ya pale mlimani inatoa msosi.

Unaweza ukawa pale ukakuta tu kuna chips mayai mbele yako....

Ila hiko chakula kina masharti.
 
TOD umezingua pakubwa
 
Hamna kitu watu wa JF wanapenda kama kuabudiwa pale uzi wake unapopendwa. Konda Msafi alianza na Khumbu vizuri ila uzi ulipochangamka akaanza kua busy na kushusha episode kwa kujisikia, huyu bwana nae kaanza mtindo huo huo. Mbona issue ni simple tu andika mkeka wako wote dondosha episodes zako zote ndani ya nusu saa tu ushapandisha kisa chako chote.

Mbona kuna watu wanamaliza vitu vyao ghafla tu. Bujibuji alikuja na Alibaba na Wezi Arobaini uzi umeenda straight hakuna kuvutana. Au yule jamaa wa Richest Man in Babylon hakuna kuabudiwa kaamua kiroho safi kushare.
 
Hahahah umesoma jina la mtoa Uzi kwanza
 
Oya naskia mlima mlanje una story flani kwamba mizimu ya pale mlimani inatoa msosi.

Unaweza ukawa pale ukakuta tu kuna chips mayai mbele yako....

Ila hiko chakula kina masharti.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Waswahili nimewashindwa. Kijiwe changu cha kuondokea kilikuwa Tcholo na Nsanje, kwa mengine sikuwa mfuatiliaji
 
Dahh!!
We jamaa nilivyokuwa nakuona kwenye siasa zamani kabla haujabadilika nilikuwa sikuelewi kumbe ni mpambanaji sana.
Mungu akuzidishie maarifa na ujasiri
Niliondoka baada ya kuona Mauaji dhidi ya wapendwa wangu Watanzania

Mbona Wenzetu Wasomali wanaweza kwanini nasi tusiache uoga
 
Umesomeka mkubwa [emoji123][emoji123]
 
Episode ya 17 kasha ichakaza au Bado Yuko lethoto na afsa wa bank mnk na mm naanza kupata waswas flani hv zidi ya afsa wa bank
 
Mkuu please acha bas we already know u've been there kwetu wenye uelewa finyu tunaona kama unataka kumdis jamaa na kama u feel like anapata audience zaidi yako. Sie wa huku namtumbo hatujui lolote hata wewe inawezekana ulitununua sana mradi tuliburudika ilitosha so achana na viswali swali na vielimu vya kijuba u r better than this
 
Bujibuji huwa harembi
 
Dah! Khumbu Kanya. Sasa Keagan anashindwa kujua azoe au aache
 
Na huo NDIO ukwel anaona mwenzie anatrend yeye tumemsahau sio poa tumpe nafas mtoa mada alete stori ndefu badala ya kujibu comments kila mda
 
Mkuu mm naomba nimtetee Keagan Paul japo sijui nini kimemkwamisha.

Unajua unapokuwa unaandika, kuna vingi vinatokea, mfano unaweza ukawa unatype then simu ikastack (hii ilinitokea sana wakati naandika safari ya maisha yangu humu JF). Kuna siku niliandika episode nzima, then ghafla JF ika crash. Nilipokea lawama za kutosha, japo sikujibizana na mtu maana wao wanajali kusoma tu, nikaandika upya.

Sometime mambo yanakuwa mengi, maana sio kila mtu anapokea mshahara mwisho wa mwezi, kuna wengine kila siku inajihangaikia. So huwezi komaa JF unatype kuridhisha watu ilhali hujui utakula nini, inabidi upige mishe then free time ndio unakuja kutype.

Tumpe muda, kuandika story inayohusu maisha binafsi, inahitaji utulivu ili kuvuta kumbukumbu na kuleta matukio kwa mtiririko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…