16 Dada....Wandugu tupo episode ya ngapi? Niliishia ya 15
"...laini na tepetepe." [emoji2]Khumbu na Kanya wote wana makalio makubwa yaliyoshuka chini,laini na tepetepe.
Urithi wa Mwafrika"...laini na tepetepe." [emoji2]
Chukua mkubwa wao popote ulipo mkuuMtu unaleta uzi,kwa moyo wako kabisa mweupe tena hatujakuomba wala hata hatujuwi kama una uzi pendwa.
Unashusha episode kadhaa Mungu ni wa wote gafla uzi wako unapendwa watu wanaacha kazi, wanakopa bando, yaani kila dk,wanacheki uzi.
Halafu,gafla speed ya kushusha episode inaanza kupungua mara narudi, mara kesho mara yanapita masaa 24 kimya.
Hii tabia ni ukatali kama yalivyo matendo mengine ya ukatili.
Ukianzisha kitu kimalize kiishe raha ya story,isomwe ikiwa bado ya moto na bando zetu hazijachacha.
Ukileta uzi au,story,hlf usipate watu unajisikia vibaya,watu wakija unapotea mnaoleta uzi mnatuchanganya.
Tunaponunua kubando, tukatenga muda kusoma uzi kati ya hbr kibao zilizo humu JF ni mapenzi na uzi huo.
SAWA TUNAJUWA KUNA DHARULA, SHIDA MATATIZO,,MUDA NA MENGINE, UKIPATA DHARULA UKAHISI HUTAANDIKA KWA MUDA SAHIHI, TOA TAARIFA KUWA WADAU KUNA DHARULA NAOMBA SIKU 2 NIPUMZIKE NIDYO TUTAENDELEA. Huo ndiyo uislamu, na ndiyo ukiristo, na ungwana.
unapoleta kisa chako wazi inamaana kuwa unataka tujifunze jambo na kufurahia pia kulingana na story iliyoletwa.
WANAJF kabla ya kuleta story yako plz kaa tafakari na ufanya maamuzi kuwa naandika hii story,mwanzo mwisho iishe na nimejitolea kwa moyo wangu wote ukimaliza kiapo ndiyo unaanza kuandika.
Ukisubiri sana kitu hata ile radha yake inaanza kuisha.
MLETA UZI,,TUNASHKRU,KWA UZI WAKO, TUNASHKRU,KWA EPISODI 16,
LAKINI kaa tafakari kama tunaendelea basi tuendelee kama imeisha basi sema wazi,,kama una dharula sema wazi pia.
Kutuweka roho juu kama tunaoga njia panda siyo fair kabisa.
NB. wengine pia wenye nia za kuleta story,kabla ya kuleta kaa fanya maamuzi kiwa story hii niwasimulie au nikae nayo daima,, hbr za kusimulia mara mchango wa MB, mara unapotea siyo kitu sahihi.
Naangalia Vaya channel 108 DSTVHii Episode ya 17 kila inavyozidi kuchelewa ndio utamu unavyozidi kuongezeka ni kama Mwanaume kwenye Vumbi la Kongo.
Sipati picha Kanya akicheza Amapiano
Yaani Mungu alitupendeleaga Waafrika wanawake wetu ni warembo halafu watamuNaangalia Vaya channel 108 DSTV
Ila bado sijaona wa kufanana na Kanya
Pole sana.Hiki kitu ndo kinanikwaza sana ...mwanamke ukijipeleka sehemu kama KFC kurefresh kwa hela yako watu wanadhani unadanga...ukinunua kagari kwa saving zako wanahisi umehongwa...ukianda cheo kazini kuna watu wapumbavu wanahisi unatembea na boss...watu wanawaza ngono ngono ngono muda wote
Mimi ni mwanamke sex ni part muhimu sana ya maisha lakini sio first priority katika maisha na sipendi initawale...napenda sana kuwa na marafiki wa kike na kiume ila sipendi kutongozwa...najikuta napata wakati mgumu kwa baadhi ya watu...ukimchekea tu kashawaza kukufunua nguo...come on maisha ni ziadi ya sex...watu hawawazi productive friendship bila ngono...and i hate that...ngono ngono ngono why?!
Umenichekesha Sana MKUU,[emoji16][emoji16]nikakumbuka kale kashairi "sizitaki mbichi hizi"[emoji16][emoji16]Kumbe ni mpuuzi wa kupuuzwa. Na itakuwa tako lenyewe hana wala nini kapigwa pasi utafkiri muhindi wa new delhi
hahahaha, wabongo bana mnakimbilia sex kuliko kitu kingine, πππππ€£π€£π€£π€£π€£Kwahiyo ukamla Vaileti????
Mkuu samahani,nimeishia 16 if possible naomba unitag nyingine kutafuta ni noma!shukraniKeegan hebu rudi na mtiririko wa story yetu pendwa maana naona hadi JF nzima imesimama