Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nisabuskraibu tayari[emoji2]
 
mkuu mbona story yenyewe umetuacha chalinze[emoji38]
 
Mleta uzi nikuulze swali...Vipi barabara za kutoka bongo mpaka kwa Mandela (south Africa) kuna sehemu Ni barabara za vumbi au Ni lami mpka South
 
Mleta uzi nikuulze swali...Vipi barabara za kutoka bongo mpaka kwa Mandela (south Africa) kuna sehemu Ni barabara za vumbi au Ni lami mpka South
Hili tunaweza kusaidiana kujibu,barabara Tanzania bado sana tena sana,hii T1 yetu ni bado sana,Zambia wanajitahidi sana hasa barabara ya Lusaka to Livingstone,ya kwenda Chilindu sio mbaya sana ILA kuna tatizo kubwa mno btn Nakonde na Mpika ni shida sana(hii kwangu ni sabotage wanayotufanyia wazambia maana wameelekeza nguvu nyingi kusini but pure kibiashara)Chilundu hadi Beitbrige wanaifanyia ukarabati na nzuri in general,na N1 ya kutoka Beitbrige hadi cape town ni first class road ni super,na ukija Botswana nao ni super kuanzia ile A3 hadi A1,border ya zambia na Namibia sio safi hasa Zambia side ila upande wa pili ni super.Tanzania tuache siasa ni vema hii T1 yetu tuitengeneze ili tuchukue even 40%ya mizigo ya DRC(hii ndio future ya kibiashara Africa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…