Mkuu pole, najifunza sana habari hii. Japo nilisafiri majuu bila misukosuko kama hii yako lkn naona kweli bongo maisha ni kupambana. Ulaya ni mteremko sana. Nilikwenda mwenyewe kwa ramani tu.
Wakuu naanza kusoma michango yenu dada. Story tamu jamaa nitag, ukitaka nihagi..lkn usiniduuu
Acha kudanganya watu hiyo ulaya ya mteremko ni ipi? Only uende kama mwekezaji mwenye mtaji au expert hapo tutakuelewa lakini mteremko kwa kua umefuga virasta na kuvizia vibibi vya beach vinavyokuja kwenye sex tourism hapo hapana