Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nashangaa watu kunivamia jamani! nimeeleza tu ka experience changu cha mdada kunisemesha mwenyewe halafu baada ya hapo kunikaushia kama sio yeye [emoji3]. Labda nilitakiwa niseme kwa maneno machache tu kuwa kuna mdada alinitaka stori baada ya hapo hakutaka tena stori, sasa sijui ningeeleweka?
Pole Sana wamaekuavaah San utafikiri wee ndio umearibu story
 
Aiseeh!!
Watu wanachizika sana na stories za South,one day (sijui lini) nitaleta story yangu kutoka Bongo kupitia Mozambique (Msumbiji) kwenda South,niliyokutana nayo Mozambique,kukamatwa na wajeda boda,kuruka 'nyenge',maisha yangu eManguzi Mbazanwa then harakati zangu ndani ya Johannesburg hasa hasa Jozi!!! South sio poa!!!

Samahani kama nitakuwa nimeingilia thread ya mwana kwa namna yoyote ile, mizuka tu yaani!!
 
Afu Roadtrip inakua tamu kama hamjazidi watatu hivi, huku mko kwenye hata defender ina tent lenu juu, ndani mna soft drinks plus maboksi ya ceres kibao, unagonga huku unachungulia grants zako kwa jicho la mafanikio, maji katoni kadhaa, ngoma inaanzia songea inapumua kidogo makambako unachoma kuku kizushi then inajaza mafuta, gari inawekwa kwa mexisons inapigwa povu kiaina, ikikamata highway inakuja kusimama Dom kidogo, inanunua wine za bei ya jumla, inaamsha kwenye nyama bahi kidogo unakula mbuzi na whisky funda mbili tatu, ngoma inaenda kulala manyoni kuna lodge za maana, hapo asubuhi inakamta supu ya kuku wa kienyeji then inatembea vumbi vumbi inakuja kula Tinde hapo unapumzika gari unafungua milango yote ipate hewa vizuri, baadae. Ikitoka tinde ngoma inasound hadi kahama unashangaa phantom kidogo unapita masumbwe, Ushirombo, Runzewe ngoma inapandisha Bwanga, inakula geita unaenda kulala hapo kwanza unasoma upepo haya mbele utaendelea mwenyewe
Mkuu ni saa 10 jioni sasa amka mkuu... Umelala sana leo
 
Nilienda kwa bus, kupitia njia aliyopita mtoa mada nikarudi kwa mwewe. Njia Dom-Mbeya-tunduma (Nakonde border)-Lusaka-Chirundu one stop border- Beitbridge border moya kwa moya Jozi. Nililala tunduma boda, nikalala na kukaa Lusaka wiki, nikaongoza Jozi.

Kutoka tunduma nilipanda power tools mabasi fulani ya njano, Kutoka Lusaka nilipanda basi inaitwa Joldan kama sijakosea spelling, nalikumbuka tu ni la rangi ya zambarau.

Changamoto ya safari ya barabara, ni kuombwa rushwa uhamiaji, hata mimi niliombwa tunduma na chirundu, tena aliyeniomba chirundu ni mdada, wanasema kuwa ukionekana na passport ya kijani, lazima uombwe mpunga. ( enzi hizo ni zile pass zetu za kijani) Sijui kwa sasa.
Ndio sas unaanza kuja kuja baad ya kufika SA Nani alikuja kukuchukuwa na ulifika muda gani na je ulikuwa na kias gani Cha pesa kutoka tz kwenda Sa ... Leo utaleta story zote mnk naona tokea ulivyo changia. Tu epsod ya meisho naona watu wanakuftiliaa wew tu
 
Nilienda kwa bus, kupitia njia aliyopita mtoa mada nikarudi kwa mwewe. Njia Dom-Mbeya-tunduma (Nakonde border)-Lusaka-Chirundu one stop border- Beitbridge border moya kwa moya Jozi. Nililala tunduma boda, nikalala na kukaa Lusaka wiki, nikaongoza Jozi.

Kutoka tunduma nilipanda power tools mabasi fulani ya njano, Kutoka Lusaka nilipanda basi inaitwa Joldan kama sijakosea spelling, nalikumbuka tu ni la rangi ya zambarau.

Changamoto ya safari ya barabara, ni kuombwa rushwa uhamiaji, hata mimi niliombwa tunduma na chirundu, tena aliyeniomba chirundu ni mdada, wanasema kuwa ukionekana na passport ya kijani, lazima uombwe mpunga. ( enzi hizo ni zile pass zetu za kijani) Sijui kwa sasa.
Juldan

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
SEHEMU YA KUMI NA MOJA

Kwa hiyo Mimi kujileta mwenyewe kwenye huu mtandao wao, jamaa alifurahi sana kuwa amepata mtu wa kumuuzia Dawa zake bila shida.

Siku ile ni kama hatukulala kabisa, Wale jamaa wameshazoea kuchelewa kulala na kuwahi kuamka. Tulilala Saa Kumi na Kuamka Saa Moja. Yan Saa moja asubuhi tukawa macho. Jamaa wakaanza kujiandaa kwa ajili ya kwenda kuzungusha biashara yao hiyo. Na Mimi wakaniambia nijiandae ili tutoke wote wataniacha kwa yule Bosi wao, Jamaa Y. Nadhan kwa kuwa nilikuwa mgeni walishindwa kuniacha peke angu pale gheto. Walikuwa kama hawaniamini hivi.

Tukajiandaa tukatoka wote, Niliacha pale Gheto Begi langu ambalo lina vyeti vyangu ndani. Ukweli muda wote nilikuwa nawaza vile vyeti tu. Hao Hao mpaka kwa yule jamaa Y, wakaniacha pale, wao hawakuchukua muda wakasepa. Pale ghetto tukabaki Mimi na Jamaa Y. Jamaa Y akatengeneza chai pale tukanywa, tulivyomaliza kunywa tukashuka mpaka chini kuna mtaa Fulani tukaelekea huko.

Wakati tunatembea ndo nilipata muda mzuri wa kuuona mjini wao. Ebana nchi ya wenzetu nzuri jamani. Warembo kama wote, wote wamejazia hatari. Nikajisema moyoni ndo mana wabongo wengi wakija huku hawarudi Bongo mpaka baada ya miaka mingi. Ukweli kwa wenzetu mademu wanajua kuvaa, kila stail yan. Warembo wanavaa na kupendeza haswa. Nilikuwa natoa macho mpaka najishtukia.

Mimi na Jamaa Y tulifika mpaka sehemu Fulani karibu na Barabara tukasimama hapo. Tulikuta majamaa wengine wengi kama Tisa hivi nao wamesimama. Pale nilikuja kugundua kuwa ni Kijiwe chao cha kuuzia dawa za Kulevya. Jamaa wanakuwa na Kete ndogo ndogo wanaficha mdomoni, mteja akifika tu, wanatoa mdomoni wanampatia. Jamaa wamevaa Kibrazameni huwezi kuzania kama wanapiga ishu hizo hapo.

Wateja wao wengi waliofika pale walifika na Magari yao. Unakuta gari inapaki pale halafu hawa jamaa mmoja wao anazama ndani ya hiyo Gari anauza mzigo.

Walikuwa wanaficha Dawa zao ndani ya Mdomo ili kama itatokea wamekamatwa na Askari inakuwa rahisi wao kuzimeza na kupoteza ushahidi. Ukweli Mimi sikuwa Comfortable kabisa kusimama nao pale. Unajua hapa Bongo ishu ya Madawa ni kubwa sana lakini sio kule. Kule wanaona kitu cha kawaida tu. Tena wanakushangaa wewe unayewashangaa.

Hawa jamaa wa Kibongo karibia wote walionekana kuwa na maisha mazuri. Wao pia walikuwa wamepaki magari yao pembeni ya Barabara. Kila mmoja ukimuuliza pale atakwambia ana miaka kibao hajarudi Bongo. Hata wanunuzi wao pale walikuwa wanafika washua kweli kweli kuja kununua mizigo.

Maelezo yote hayo alikuwa ananipa kidogo kidogo jamaa Y, Ni Kama vile alikuwa ananifundisha Kazi kiaina. Ukweli kwa siku ile ya kwanza Wabongo wengi niliokutana nao walikuwa wanapiga hizi ishu, wachache sana walikuwa wanafanya Kazi kwenye Masaloon na maeneo mengine. Hata hawa ambao walikuwa wanafanya kwenye Masaloon, nyuma ya pazia walifanya dili hizi. Hata ambao walikuwa na Maduka makubwa nyuma ya biashara zao, Jamaa Y aliniambia nao wanauza unga.

Jamaa Y taratibu aliendelea kunifundisha Kazi na kunionesha Mitaa mbalimbali. Nilimweleza jamaa kuwa Mimi natamani kufanya michogo ya halali. Nakumbuka jamaa alinikatisha sana moyo. Kwamba Kazi za Halali ni ngumu sana kupata. Jamaa aliniuliza "Una Kibali cha kufanyia Kazi? (Work Permit)" Nikamjibu Hapana sina. Akasema kama ni hivyo itakuwa ngumu sana kupata mchongo wa halali.

Kwa asiyefahamu, kwa mujibu wa sheria mtu inabidi uombe Kibali cha Kazi kabla ya kuanza Safari. Yan unaombea ukiwa Bongo. Unakwenda pale Ubalozi wa South Africa uko pale Posta unaomba kabisa Kibali kabla ya kuanza safari. Ukifika pale utapewa taratibu zote za kuomba Kibali. Changamoto sio kuomba Kibali, Changamoto ni hayo Masharti yao.

Kwa hiyo Jamaa Y aliniambia kama sina Kibali nisahau kupata Mchongo wa Halali. Aisee nilichoka. Mchongo pekee uliopo mbele yangu ni wa Dawa za Kulevya.
 
Bata za South hizi. Hapa ukiingia lazima stress zote ziishe.
FB_IMG_16175628775226294.jpg

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Aisee katika maisha mapambano ni mengi sana,tusikate tamaa👊

mizuka ni nini mkuu au ni majambarika ya south.
 
Back
Top Bottom