Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Afu Roadtrip inakua tamu kama hamjazidi watatu hivi, huku mko kwenye hata defender ina tent lenu juu, ndani mna soft drinks plus maboksi ya ceres kibao, unagonga huku unachungulia grants zako kwa jicho la mafanikio, maji katoni kadhaa, ngoma inaanzia songea inapumua kidogo makambako unachoma kuku kizushi then inajaza mafuta, gari inawekwa kwa mexisons inapigwa povu kiaina, ikikamata highway inakuja kusimama Dom kidogo, inanunua wine za bei ya jumla, inaamsha kwenye nyama bahi kidogo unakula mbuzi na whisky funda mbili tatu, ngoma inaenda kulala manyoni kuna lodge za maana, hapo asubuhi inakamta supu ya kuku wa kienyeji then inatembea vumbi vumbi inakuja kula Tinde hapo unapumzika gari unafungua milango yote ipate hewa vizuri, baadae. Ikitoka tinde ngoma inasound hadi kahama unashangaa phantom kidogo unapita masumbwe, Ushirombo, Runzewe ngoma inapandisha Bwanga, inakula geita unaenda kulala hapo kwanza unasoma upepo haya mbele utaendelea mwenyewe
Unalala Runzewe mkuu kukamata vitoto vya kisumbwa na kisukuma!
 
Wakuu eeh mnawafahamu wasomali...
Umoja wao mnaufahamu?
Umeshawahi onalife lao?
Wanaishi mtaa mmoja..
Wanachukuana kwao kila siku...
Tatizo wanalibeba wote...
Pia nao kwa kujilipua so haba ..border hapa karibu kila siku wanavushwa kwenda Sa ...Baada ya muda wanarudi walionyookewa na maisha wanakuja kuchukua wenzao.. l
Kama wasomali wa hapa border dah Mshikamano wao nimeipenda.

Wabongo tuache ungese
Anza kubeba RAIA mkuu... Hivi hawa nao wana piga mishe za poda?
 
Na washarika Tuungane nae Kwa pamoja tuseme ee myaazi Mungu Utusaidie...

Much:Bwana awabariki na kuwalinda.
Awaaangazie Nuru ya uso wake apate kuwafadhili.

Mch: Bwana akae nanyi.
Ush:Akae na roho yako.
Mch:Tummhimidi bwana.
USH:Tumshukuru Mungu....

Mch:Tukienda kulipia matoleo yetu kule telegram Usharika Tuimbe wimbo namba 205 Beti 5..

Baada ya hapo dada Noelia atatuongoza pambio wakati tunamsubir Keagan Paul Aje atupe Uzi wa leo.

Don’t use God’s name profanely
 
Nilicheza ngoma yao, nikakusanya ushahidi muhimu, wakuomba pesa/ngono tena walivyo washenzi wanaweka conditions zao bila aibu Yani,,, sikutoa chochote nje ya masharti ya lazima ila tu walinicheleweshea,
Ulifanya vyema sana! Nachukia kwenye hziz ofisi nyongi ukienda kufata huduma wanaona kama umeenda kuomba msaada.
 
Ni kweli hii mbinu inasaidia na imewatoa wengi wanaume kwa wanawake. Maana kutoka hivi hivi shughuli pevu. Jamaa ni kama alishushwa na Mungu. Alinikubali na kunipenda na unyonge wangu wote. Akawakubali na watoto wangu. Mtu sina mbele wala nyuma naishi kwa watu na ni muhamiaji sina kitu. Jamaa bosi yuko vizuri financially bado akanichagua. Niliamini mwanaume akimpenda mwanamke hakuna kinachoweza kumzuia
Unazungumziaje baadhi ya wanaume choka mbaya walio hapa bongo wanaoendelea kuwaponda single mothers kuwa hawafai kuolewa?
 
Eeeeh Mungu saidia huu uzi uishe salama, maana umeshaingiliwa na:

Malaya+wadangaji,
Wajuaji+wapenda sifa,
Waongo waongo.

Amen.



Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
We ndugu acha kijiona msafi sana, watu wanapiga story zao kusogeza uzi, hao unaowaita madanga hawajawahi kukudangia, na hao malaya hujawahi kuwafukunyua, acha umbea mtoto wa kiume relax tusubiri story iendelee
 
Back
Top Bottom