Konda Msafi
Naomba niwe upand wa Mtoto wa mstaafu kwa hoja mbili
1. Mkuu kusema kuwa mademu wa hadhi fulani unawajua hiyo statement iko too general na kwa namna moja ama nyingine haina uhalisia..ni kama vile sisi wabongo tunapowazungumzia wakenya utasikia tunasema 'wakenya wenzetu wako active sana kwenye kazi kuliko sisi tuna uvivu mwingi', at same time wakenya nao watakuwa wanatuzungumzia kuwa sisi watz tuko so active sana kwenye kazi kuliko wao...hizo ni general statements ila kiukweli kuna wavivu ndani ya nchi zote mbili.
2. Kiufupi tu mi naona story teller yupo sahihi..inabidi tuelewe story kama ilivyoletwa na tukitaka kupitia neno hadi neno tutakua tunakosea.. So mkuu
konda msafi hizo statement zako ni too general na haziapply kwa wote. Pengine wabongo uliowaona ndio walikuwa wanakula bata ila walioonwa na
Keagan Paul wenyewe wanafanya kazi kama punda. Hakuna kati yenu aliyewaona wabongo wote, au aliyewaona wahamiaji haramu wote wanaoishi south au aliyeishi na warembo wote..so statement uliyotoa bwana Konda ni sahihi kwa watu uliowaona ila haiapply kwa wote.
Ni kama vile weweau mtoto wa mstaafu mnavyotuambia mademu wa south ni wazuri kinoma ila kiuhalisia hiyo ni general statement na sio uhalisia kwa wote. mmeitoa hiyo statement kwa kufanya reference kwa watu wachache mliowaona ila kiuhalisia mademu wengine na wengi tu ni wakawaida kama hao tunaowaona kila siku kwenye isdingo, kipindi cha kombe la dunia na kwenye taarifa ya habari.
kiufupi tuielewe story kama ilivyoletwa tusije na generalized arguments ambazo hazijawa proven.