Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nimekusifu unajua sana kutukana endelea sana kuna siku takuja kukuuliza hii code MTAA UMETULEA uliisikia wap nawapenda sana watu kama nyinyi endelea endelea nasoma comment zako
Wewe kama unanitaka useme sio unaruka ruka kama popcorn kikaangoni.
.....Naona umeishiwa points, unakimbilia kunitafuta uniadabishe
Ndio siku zingine ukome kudandia yaso yako mtaa umetulea
Uzi alete mwingine, kuwashwa uwashwe wewe.
☺️☺️☺️
Niache nikatafute pesa
 
Nakubaliana na mdau SN.BARRY uzi ulikuwa mzuri sema kuna wajinga wamevamia watukana kila mtu, ujuaji mwingiiii, Kuna mmoja kila kitu anajua, kila kitu anacho Halafu kuna wanaojiuza kijanja
Kweli mkuu. Kuna MASHETANI yamevamia huu uzi. Tuombe tu Mungu uzi uishe salama, uzi unafundisha, elimisha na kuburudisha.
 
Wewe kama unanitaka useme sio unaruka ruka kama popcorn kikaangoni.
.....Naona umeishiwa points, unakimbilia kunitafuta uniadabishe
Ndio siku zingine ukome kudandia yaso yako mtaa umetulea
Uzi alete mwingine, kuwashwa uwashwe wewe.
[emoji5][emoji5][emoji5]
Niache nikatafute pesa
Kwani chura ipo madame.b mana mti wenye matunda ..
 
Wewe kama unanitaka useme sio unaruka ruka kama popcorn kikaangoni.
.....Naona umeishiwa points, unakimbilia kunitafuta uniadabishe
Ndio siku zingine ukome kudandia yaso yako mtaa umetulea
Uzi alete mwingine, kuwashwa uwashwe wewe.
[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Niache nikatafute pesa
Saa ngapi PM yangu itacheka?
 
Back
Top Bottom