Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Kuna watu wanakera na hadithi zao inabidi tukubaliane kama wanaJF mtu kama hana muda wa kutype hadithi yake pembeni na kazi yake iwe ni kutupia tu jukwaani asilete uzi wake. Mimi sio mtabiri ila soon tu tutaombwa buku ya vocha...
 
Kweli mkuu. Kuna MASHETANI yamevamia huu uzi. Tuombe tu Mungu uzi uishe salama, uzi unafundisha, elimisha na kuburudisha.
Nilishajua kuna biashara zinatangazwa kijanja sana, sio tatizo ila naboreka na ujuaji wa kupitiliza
Alaaa kwani wao nani humu
 
Wadau huyu Tshepiso bado nahangaika kumtafuta, nikimpata nitamleta hapa
14252.jpg
 
Nakubaliana na mdau SN.BARRY uzi ulikuwa mzuri sema kuna wajinga wamevamia watukana kila mtu, ujuaji mwingiiii, Kuna mmoja kila kitu anajua, kila kitu anacho Halafu kuna wanaojiuza kijanja
Uzi mwanzan ulikua mtamu sana wajuaji wakaingia wengine hata south hawapajui kama mm hapa wakaanza kukosoa wengine wakaingia na matangazo yao ya udangaj kuna member ukiwaona kweny Uzi ujue mambo yameharbika
 
Back
Top Bottom