Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Wewe kama unanitaka useme sio unaruka ruka kama popcorn kikaangoni.
.....Naona umeishiwa points, unakimbilia kunitafuta uniadabishe
Ndio siku zingine ukome kudandia yaso yako mtaa umetulea
Uzi alete mwingine, kuwashwa uwashwe wewe.
☺️☺️☺️
Niache nikatafute pesa
Mimi nakutaka Madame
 
Mimi nimeenda hv karibuni tu. Niligongewa nikaambiwa miezi mitatu. Nilimkuta jamaa amechoka anataka kuondoka maana ilikuwa jioni. Akaniambia nenda kwa yule dada sio mimi maana ndo alikuwa ameigia. wakati naondoka akaniuliza umetoka Msumbiji au sehemu tofauti. Nikamjibu natoka Tanzania, akasema njoo hapa kama ni Tanzania. , member: 15559"]
Mimi nimeenda hv karibuni tu. Niligongewa nikaambiwa miezi mitatu. Nilimkuta jamaa amechoka anataka kuondoka maana ilikuwa jioni. Akaniambia nenda kwa yule dada sio mimi maana ndo alikuwa ameigia. wakati naondoka akaniuliza umetoka Msumbiji au sehemu tofauti. Nikamjibu natoka Tanzania, akasema njoo hapa kama ni Tanzania. akanigongea miezi mitatu
[QUOTE="

Mavumba yako sana mkuu,una bahati sana kupata miezi 3 bila kuweka Rand kadhaa kwenye passport yako,wengi siku hizi wanapewa wiki moja mpaka mbili tu,tena unakuta mtu ni first time (fesh) kuingia South!!
 
Mkuu wewe umesema umeishi South Africa miaka kibao (binafsi sina shaka na hilo kabisa) ila unayoandika hapa ni kama vile sio msafiri wa pande zile.

Kama unaelewa vizuri,wabongo siku hizi hawapewi siku nyingi wanapoingia South hata kama ni first time,yaani siku hizi unapewa one week mpaka two weeks basi tofauti na kitambo,

Ila mabaharia wakishaingia tu South,wanakaa mwanzo mwisho bila kwenda kugonga tena wala kuwa na document yoyote ya kuishi kule.

Hakuna sehemu hatari kuishi bila vibali ndani ya South kama Jozi,maana kuna jamaa wanaitwa SECTOR 2,daily wapo mitaani kukamata watu wasio na vibali lakini bado kuna mabaharia kibao wapo hapo hapo jozi bila kibali chochote miaka nenda rudi na wanapeta tu,sasa wewe unashangaa nini mtu wangu?

Kingine kama umepita boda za South,basi lazima utakuwa unajua kwamba pesa ndio mchawi pande zile,yaani ukiwa na mkwanja tu,unaingia bila hata hiyo passport,sembuse kuwa ime expire?

Halafu nimeshangaa zaidi uliposema polisi wanachana asylum permit (MPANGO),mpango original ambao umetolewa na Home Affairs police anaanzaje kuuchana?hiyo asylum permit inatumika mpaka na maboss wa kiEthopia/Wahindi wenye miduka mikubwa na biashara nyingine kubwa tu South,halafu unasema mpango hausebenzi kaburu?..watu mpaka mahakamani wanatoka na huo huo mpango,
waliokupigia story za police kuchana mpango walikuwa wanakuzingua tu mwana!!
Naomba Link ya story ya kumbu
Ukimaliza story ya kumbu, tafuta story inaitwa "how i met my wife" na story ya HAMIDA, Utanishukuru baadae.
 
Mkuu nipe list ya stori zilizowahi kukimbiza humu JF hata za zaman before ile ya KHUMBU maana zamani nilikuwa sifatili sasa huu wa PAUL naona speed yake ya kuandika imeanza kuwa na mashaka.

Pia uniambie nyuzi,hizo zinapatikana jukwa lini.

Asante
Mkuu naomba niingilie kujibu hili, kuna syory ya mwaka jana " how i met my wife" by kigakoyo ni bora kabisa kwangu mimi tangu jamii forum ianze, na pia kuna ya "Hamida nayo duh ni kali sana, utanishukuru baadae
 
Mkuu naomba niingilie kujibu hili, kuna syory ya mwaka jana " how i met my wife" by kigakoyo ni bora kabisa kwangu mimi tangu jamii forum ianze, na pia kuna ya "Hamida nayo duh ni kali sana, utanishukuru baadae
Tupia link kamanda
 
Mkuu nipe list ya stori zilizowahi kukimbiza humu JF hata za zaman before ile ya KHUMBU maana zamani nilikuwa sifatili sasa huu wa PAUL naona speed yake ya kuandika imeanza kuwa na mashaka.

Pia uniambie nyuzi,hizo zinapatikana jukwa lini.

Asante
Tafuta story ya vituko nilovoshuhudia kwa macho yangu by lwanda magere
 
Back
Top Bottom