Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake.

Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei

Safari hii akiwa nchini alikuwa jirani yetu Chole Road nyumba ya pili kutoka kwetu.nyumba ilikuwa na ulinzi mkali sana ila binti yake alikuwa akija kucheza kwetu,baba yake jilimuona siku moja tu akipiga mswaki nje,mzee mmoja wa miaka kama 60 hivi.

Binti yake huyo alikuja kuwa mpenzi wangu bahati mbaya waloondoka nchini ba sikuwahi kuwadoliana nae mpaka leo bila shaka atakuwa mama mtu mzima na watoto au wajukuu.

Miaka michache baadae Museveni akachukua nchi nikiwa balehe ya pili mpaka sasa nimezeeka.

Penzi la yule binti wa Obote nimelikumbuka leo baada ya kukutana na mama mmoja wa kisambaa wanafanana kweli nikidhani ni yeye
 
Mkuu huyu bint alikua anaitwa nani? Au hakukwambia jina lake au umelisahau........
 
Kama mwaka 1985 ulikuwa na mpenzi mpaka sasa wewe ni mzee ila una mambo ya kitoto.

Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…