Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]OK kwenye maisha yako yasiyo halisi we ni fala sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]OK kwenye maisha yako yasiyo halisi we ni fala sana
Kwa hiyo tukusaidie nini mkuu?Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake.
Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei
Safari hii akiwa nchini alikuwa jirani yetu Chole Road nyumba ya pili kutoka kwetu.nyumba ilikuwa na ulinzi mkali sana ila binti yake alikuwa akija kucheza kwetu,baba yake jilimuona siku moja tu akipiga mswaki nje,mzee mmoja wa miaka kama 60 hivi.
Binti yake huyo alikuja kuwa mpenzi wangu bahati mbaya waloondoka nchini ba sikuwahi kuwadoliana nae mpaka leo bila shaka atakuwa mama mtu mzima na watoto au wajukuu.
Miaka michache baadae Museveni akachukua nchi nikiwa balehe ya pili mpaka sasa nimezeeka.
Penzi la yule binti wa Obote nimelikumbuka leo baada ya kukutana na mama mmoja wa kisambaa wanafanana kweli nikidhani ni yeye
Kwa hiyo ni somo gani umetupa hapa mzee baba?Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake.
Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei
Safari hii akiwa nchini alikuwa jirani yetu Chole Road nyumba ya pili kutoka kwetu.nyumba ilikuwa na ulinzi mkali sana ila binti yake alikuwa akija kucheza kwetu,baba yake jilimuona siku moja tu akipiga mswaki nje,mzee mmoja wa miaka kama 60 hivi.
Binti yake huyo alikuja kuwa mpenzi wangu bahati mbaya waloondoka nchini ba sikuwahi kuwadoliana nae mpaka leo bila shaka atakuwa mama mtu mzima na watoto au wajukuu.
Miaka michache baadae Museveni akachukua nchi nikiwa balehe ya pili mpaka sasa nimezeeka.
Penzi la yule binti wa Obote nimelikumbuka leo baada ya kukutana na mama mmoja wa kisambaa wanafanana kweli nikidhani ni yeye
Wanaume na ma-geto yetu...Aah wap
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mwaka 1985 ulikuwa na mpenzi mpaka sasa wewe ni mzee ila una mambo ya kitoto.
Asante.
Kwa nn mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Hamna neno silipendi humu, kama neno KUCHAKATA. [emoji3064][emoji3064][emoji3064]silimind tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Museveni akachukua nchi nikiwa balehe ya pili mpaka sasa nimezeeka.
🤣🤣🤣Tutake radhi harakaIla watu wenye vikomwe na uongo.. ni sambamba sana
Mbususu ni zakuchakata tu mkuu hakuna namna yani zichakatwe kwelikweliHamna neno silipendi humu, kama neno KUCHAKATA. [emoji3064][emoji3064][emoji3064]silimind tu.