Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo
Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake.

Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei

Safari hii akiwa nchini alikuwa jirani yetu Chole Road nyumba ya pili kutoka kwetu.nyumba ilikuwa na ulinzi mkali sana ila binti yake alikuwa akija kucheza kwetu,baba yake jilimuona siku moja tu akipiga mswaki nje,mzee mmoja wa miaka kama 60 hivi.

Binti yake huyo alikuja kuwa mpenzi wangu bahati mbaya waloondoka nchini ba sikuwahi kuwadoliana nae mpaka leo bila shaka atakuwa mama mtu mzima na watoto au wajukuu.

Miaka michache baadae Museveni akachukua nchi nikiwa balehe ya pili mpaka sasa nimezeeka.

Penzi la yule binti wa Obote nimelikumbuka leo baada ya kukutana na mama mmoja wa kisambaa wanafanana kweli nikidhani ni yeye
 
Attachments

  • _20230130_200043_1.JPG
    _20230130_200043_1.JPG
    19.1 KB · Views: 5

Sema jamani hii chai kila nikisubiri ipoe naona haipoi,mpishi wa hii chai nahisi ana gubu sana
 
Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake.

Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei

Safari hii akiwa nchini alikuwa jirani yetu Chole Road nyumba ya pili kutoka kwetu.nyumba ilikuwa na ulinzi mkali sana ila binti yake alikuwa akija kucheza kwetu,baba yake jilimuona siku moja tu akipiga mswaki nje,mzee mmoja wa miaka kama 60 hivi.

Binti yake huyo alikuja kuwa mpenzi wangu bahati mbaya waloondoka nchini ba sikuwahi kuwadoliana nae mpaka leo bila shaka atakuwa mama mtu mzima na watoto au wajukuu.

Miaka michache baadae Museveni akachukua nchi nikiwa balehe ya pili mpaka sasa nimezeeka.

Penzi la yule binti wa Obote nimelikumbuka leo baada ya kukutana na mama mmoja wa kisambaa wanafanana kweli nikidhani ni yeye
Mara ya Kwanza Obote akipinduliwa mwaka 1971, January 25 na mkuu wake wa majeshi, Meja jenerali Idd Amin Dada
 
Back
Top Bottom