system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Majibu yako konki sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndugai uliweza kumuona mke wa yesu hivi kweli itashindikana kuchakaata papuchi ya mtoto wa obote.Hakuna mtu simpendi kama ndugai nchi hii
Hiyo nyumba naifaham 🤣🤣🤣🤣ID fake mkuu,ukinikuta kwenye maisha yangu halisi naheshimika sana
Unamaanisha hii ni strungi?Uji wa moto sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu alipiga back3 wa Obote yeye anadhani bint wake obote hakua na mtoto wa kike
Yaani zamani watu walikuwa wanabalehe mara mbili balehe ya kwanza mbele, balehe ya pili nyumaBalehe ya pili ndio inakuwaje?
Hii nchiUji wa moto sana
Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo
Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake.
Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei
Safari hii akiwa nchini alikuwa jirani yetu Chole Road nyumba ya pili kutoka kwetu.nyumba ilikuwa na ulinzi mkali sana ila binti yake alikuwa akija kucheza kwetu,baba yake jilimuona siku moja tu akipiga mswaki nje,mzee mmoja wa miaka kama 60 hivi.
Binti yake huyo alikuja kuwa mpenzi wangu bahati mbaya waloondoka nchini ba sikuwahi kuwadoliana nae mpaka leo bila shaka atakuwa mama mtu mzima na watoto au wajukuu.
Miaka michache baadae Museveni akachukua nchi nikiwa balehe ya pili mpaka sasa nimezeeka.
Penzi la yule binti wa Obote nimelikumbuka leo baada ya kukutana na mama mmoja wa kisambaa wanafanana kweli nikidhani ni yeye
Ukute mzee ni mwanachama mtiifu wa CHAPUTA1985 ulikuwa na galfriend mmh!! Wewe SI mshua wangu kabisa [emoji848] ila humu upo kama vijana wa kataa ndoa, basi sawa
Sio huyu tu, pia kuna mwingine alikimbia kwao, nae ana eneo kubwa tu kule mbezi, ila sijui kupind hiki kuna nani paleWatoto wa juzi hawawezi kuelewa
Siyo ya linda kweli...?Balehe ya pili ndio inakuwaje?
Kitambo sanaa..Kabila kaishi sana mbezi lile jumba limekuwa gofu tu siku hizi
Sema jamani hii chai kila nikisubiri ipoe naona haipoi,mpishi wa hii chai nahisi ana gubu sanaMwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo
Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake.
Haikuwa mara yake ya kwanza kupinduliwa na kukimbilia bongo.huko nyuma alishapinduliwa na idd Amini kama sikosei
Safari hii akiwa nchini alikuwa jirani yetu Chole Road nyumba ya pili kutoka kwetu.nyumba ilikuwa na ulinzi mkali sana ila binti yake alikuwa akija kucheza kwetu,baba yake jilimuona siku moja tu akipiga mswaki nje,mzee mmoja wa miaka kama 60 hivi.
Binti yake huyo alikuja kuwa mpenzi wangu bahati mbaya waloondoka nchini ba sikuwahi kuwadoliana nae mpaka leo bila shaka atakuwa mama mtu mzima na watoto au wajukuu.
Miaka michache baadae Museveni akachukua nchi nikiwa balehe ya pili mpaka sasa nimezeeka.
Penzi la yule binti wa Obote nimelikumbuka leo baada ya kukutana na mama mmoja wa kisambaa wanafanana kweli nikidhani ni yeye
Mara ya Kwanza Obote akipinduliwa mwaka 1971, January 25 na mkuu wake wa majeshi, Meja jenerali Idd Amin DadaMwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake.