Nilivyomchakata mtoto wa Rais wa Uganda Milton Obote aliyekuwa amepinduliwa mwaka 1985 na kukimbilia Tanzania

Kwa hiyo tukusaidie nini mkuu?
 
Mnabisha kama vile Obote alikuwa sio binadamu... Sasa mtoto wa bilionea analiwa, sembuse mtoto wa Obote??
 
Kwa hiyo ni somo gani umetupa hapa mzee baba?
 
Ila si alikuwa wa kike?
Vijana wa leo hovyo kabisa yan ukitunukiwa matangazo kila mahala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…