Sasa na huyo mtutsi nae ndo komesha hao ukiwa majirani nao waweza kufa wanakutizama kwa macho makavu yani, wengi wao wako hivyo,
Niliwahi kuishi sehemu,, majirani ni hao,, sikukimbia ila tulihenyeshana,, mchaga tulimnunua baada ya kuanza kuchimba shimo la choo karibu kabisa na geti la kuingilia,, kijisehemu kiduchu tulikilipia milioni 3 miaka kumi ilopita, mtutsi huyo yeye hakutaka hata njia tupite ikabidi tupitishe nguzo za umeme jirani na kwake km makubaliano ya kupita ktk kinjia hicho lkn kuna siku aliifunga mpk ukaitishwa mkutano wa kijiji,, muhaya huyo yeye ilikuwa kusogeza mipaka kidogo kidogo, ikabidi tuzungushie wire fence, akawa anapanda majani flani hivi yanawasha sana km kutukomoa,,, aaah visa vilikuwa vingi mno