Nilivyomhamisha mtaa kwa siku saba jirani yangu mjeuri

🤣🤣🤣🤣🤣🤣ulimuonea ndg. Muhaya mkuu
 
Cku nyingine mletee yale makomba mavi.
 
Hapo ninao wajua vizur ni mchaga na muhaya hawa watu wakimiliki kiwanja wanajihis wamemiliki dunia siyo kwa mbwembwe za ajabu ajabu mara wanaziba mipaka wanapanda na migomba sehemu ambazo mabomba na nguzo za umeme zilitakiwa kupitishwa
Sasa na huyo mtutsi nae ndo komesha hao ukiwa majirani nao waweza kufa wanakutizama kwa macho makavu yani, wengi wao wako hivyo,

Niliwahi kuishi sehemu,, majirani ni hao,, sikukimbia ila tulihenyeshana,, mchaga tulimnunua baada ya kuanza kuchimba shimo la choo karibu kabisa na geti la kuingilia,, kijisehemu kiduchu tulikilipia milioni 3 miaka kumi ilopita, mtutsi huyo yeye hakutaka hata njia tupite ikabidi tupitishe nguzo za umeme jirani na kwake km makubaliano ya kupita ktk kinjia hicho lkn kuna siku aliifunga mpk ukaitishwa mkutano wa kijiji,, muhaya huyo yeye ilikuwa kusogeza mipaka kidogo kidogo, ikabidi tuzungushie wire fence, akawa anapanda majani flani hivi yanawasha sana km kutukomoa,,, aaah visa vilikuwa vingi mno
 
Sasa mtusi anaanzanje kutuletea dharau wazawa(indigenous), na kumkata mapanga??? Au mlikuwa mnaogopa...
 
Kuna mmoja ni mchaga nimepakana naye, ana ng'ombe wake huyo kutwa anamzururisha, leo kamfunga getini, kesho pembeni ya fensi yaani tafrani. Mara amfunge ale mipapai ya watu etc
 
Sasa mtusi anaanzanje kutuletea dharau wazawa(indigenous), na kumkata mapanga??? Au mlikuwa mnaogopa...
Sio kuwaogopa hao ni watu wanaosumbua ktk suala zima la mipaka ya ardhi na ujirani

Mbona wa wapo hadi viongozi wakubwa wa jamii hiyo ije kuwa ardhi ya kujenga vyumba viwili vitatu,, nenda kagera wilaya zinazopakana na hao watu,,
 
Kuna mmoja ni mchaga nimepakana naye, ana ng'ombe wake huyo kutwa anamzururisha, leo kamfunga getini, kesho pembeni ya fensi yaani tafrani. Mara amfunge ale mipapai ya watu etc
😂😂😂Yani full drama kila siku kelele,, unakosa raha hata kuwa kwako jamani
 
Mnaishi mtaa gani ambao gari ya taka inaachwa tu hapo wiki nzima?

Hakuna viongozi wa mtaa huko?
 
kwanza chai yako haina viungo muruwa hivi mtu ana kaz ya kuzoa taka aje apaki gari Na taka zipo si zinazidi ozesha gari au ndo akili za watu wa kanda ya ziwa mlivyo
na kwa ushauri tafta hela uache mapambano na akili yako hunanhatabhuyo jirani unaimagine tu. wenye mipango hawanaga akili kama zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…