Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

Uko mabeach boy ndio mwanzo mwisho kiumeni haswa nasikia!
Yah sababu kule nahis ruby na gold na madini gani sijui yanapatikana Kwa wing so sehem kama hizo muda wowote kinawaka sababu wanajua watu Wana pesa refer Congo kule dhahabu ndio za kuokota kama pangekua sehem ya Aman basi watu wengi wangekimbilia huko na Mim ningekua mmoja wapo Gold nje nje tu Ila 🔪 mhmm.
 
Ulivyopigana , ulivyompelekesha hakim, na nimepiga picha ya huyo tapeli namna alivyokimbia hadi akajikwaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah jamaa alizingua sana na akanipa uoga sana wakuenda kununua eneo jingine,heri sasa naishi zangu Bonyokwa maisha yanasonga
 
Wewe una dili na gold tu?
 
Nina kiwanja changu kivule fremu kumi. Sijakitembelea zaidi ya mwaka.

Umenishtua nikakicheki. Kisije kikawa kimeuzwa tena
Dah tafuta hata jirani mwema awe anakutupia jicho maana kesi za ardhi miji mipya ziko kwa sana
 
Safi sana.. story fupi.. nzuri na inafundisha pia.
 
Nimeshanunua viwanja sehemu mbalimbali, kwa umakini wangu sijawahi kupigwa, ispokuwa boko basihaya, ndipo kidogo waliniletea ushoga, baada ya kuona polisi wananiletea mbovu, nikawasilisha Takukuru, hawa ndio waliniokoa, weka ndani wezi sugu na kichapo juu, mpaka wakasarenda, wakalainika, mbaya walishatengeneza Hati, lakini wakachemsha watakubali yaishe, masuala ya ardhi ukilainika kidogo tu, umekwisha mazima.
 
story iko poa sana my self imenfunza kutoogopa vitisho unapodai hak yko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…