Ok,jambo ilikuwa ivi Maza aliuziwa nyumba na jamaa flani kupitia madalali Tena walijirizisha mpaka mipango miji na kuonyeshwa faili la pale kuwa halidaiwi na bank Wala mtu kwa maana hakuna kesi mahakamani Tena ofsa ofisini kwake kabsa,basi mother kalipa ela mill 40,sasa jama twende ukakabizi nyumba kumbe mle ndani Kuna wapangaji na wanasema hawamjui huyo jamaa Kuna mtu ndio Huwa wanampa pango na wanajuwa ndio mwenye nyumba,kumba waha jamaa walikuwa marafiki kabsa wakatapeliana Kama mill 85 ya biashara kwaiyo jamaa kaishikia nyumba Kama kupunguza deni huku ela ikitafutwa taratibu na kesi ipo mahakama ya wilaya,kesi yake ni kujipatia fedha kwanjia za udanganyifu shughuli imelala hapo,jamaa kambiwa rudisha ela Kama vipi biashara tumeshindwa anajibu nyodo,ndio nikavutiwa waya nirudi kusimamia ilo jambo.
Itaendelea.......
Sent from my TECNO KB8 using
JamiiForums mobile app