Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

Shida yote ilianzia kwenye mishe za manunuzi. Ilibidi msainishiane mbele ya wa2 wa serikali za mitaa angeanza kwa kusema anamilikije...
Jamaa alichoniwin ni kule kwanza kuna mshkaji wangu ameshamuuzia,aliyekuja nae alimtambulisha kama mjumbe na mhuri juu then akaniambia ukienda serikalini asilimia zao utalipa mwenyewe mi hainihusu😂 ujinga wakati wa kwenda ndugu
 

Mkuu pole sana, na hongera kwa kuweza kupigania haki yako. Yule hakimu nipe initial tu za majina yake? hata PM.
 
Hilo najua.. kwenye ununuzi wa viwanja hata mawaziri na wabunge huwa wanatapeliwa pia
Na tatizo kubwa, mambo ya utapeli huw siyo kesi za jinai.

Ni aidha kesi za Madai au Ardhi ambazo huwa ni kesi za kupoteza muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…