Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii chai bado iko shambani, hapa tujiandae kesho jmos tukapige paliziMtoto ameibiwa saa 5, wewe umeondoka saa 6 au 5 na nusu. Alibi yako hapo ishafeli.
Labda ungeondoka halafu uagize mtu akufanyie hiyo kazi. Ni vile wapelelezi wabongo hawajui tu ila ingekuwa nchi za wenzetu ungekamatwa mapema sana tu.
Kwahio umeamua ujiajiri kuteka watoto?Kuna mwaka niko mitaa ya mwananyamala nikakutana na dada fulani wa kizaramo anaitwa Somoe.
Ni wale waswahili OG sema Mungu alimjalia sura na umbo zuri.
Nikaimbisha nikakubaliwa nikawa najimegea show za kibabe.
Tangu nibalehe sijawahi kutana na fundi kitandani kama Somoe
Akanitegeshea mimba akagoma kuitoa,,bahati nzuri alikuwa hapajui home wala kazini,mtoto kuzaliwa sura ya kwangu kabisaa nikajicomit kutoa matunzo.
Kumbe nikituma hela Somoe ananunua madela na kucheza viccoba.
Kuna siku nikasema ngoja nikasalimie damu yangu nimeimiss,kufika mwananyamala mtu mzima chozi likanitoka,nikajiona copy yangu sina viatu wala kandambili,kitumbo kimetuna,nguo chafu makamasi mpaka kidevuni,nywele chafu mtoto hajaoga tangu asubuhi,nikaenda sehemu nikalia machoziii,nikafuta,nikarudi home kutafakari.
Nikatengeneza mazingira ya kumuiba yule mtoto,kulikuwa na safari ya mkoani ya kikazi,nikaenda mwananyamala kabla ya safari nikapiga misele ule mtaa Somoe hayupo ila copy yangu inazurura kitumbo kinazidi tu kwa utapiamlo,nikanyata ili nisionekane nikampakiza kwenye taxi nikampeleka home na kumbadilisha nguo safari ya mkoa ikaanza,nikamdrop morogoro kwa shangazi yangu mimi nikaendelea mpaka Dodoma kikazi,huku nyuma Somoe nasikia akaenda kuripoti polisi,na kutangaza msikitini mtoto kapotea.
Nilifanya makusudi kumuiba siku ya safari ili kutengeneza mazingira ya alabi,(tamka alabai)wanasheria tunaelewa hii.
Na kweli uchunguzi ulipofanyika ikaonekana siku hiyo nilikuwa safarini kikazi.
Somoe alikonda akabaki mifupa takro lote liliisha
Ilichukua miaka mitano Somoe kuja kujua kuwa yule mtoto nilimuiba mimi na hajawahi kumuona tena mtoto yupo na afya nzuri,kitambi kiliisha,anafanya vizuri darasani,nikiona copy yangu napata faraja sana.
Ukihitaji huduma ya kumuiba mwanao ili kunusuru njoo Pm.maana hili zoezi nilisharudia tena kwa mtoto wa rafiki yangu aliyezaa na mwanamke mjinga
Ngoia namim nikaibe damu yanguHaijakomaa bado 😆
Traffic wa namanga tumekukosea nini mkuuMtoto wa miaka miwili kirubatumbo kama trafiki wa namanga
Mna viribatumbo vya uzeeni kisa kaki kaki za chaiTraffic wa namanga tumekukosea nini mkuu
Ni yeyeee🤣🤣🙌Nilishasema mwenye ID hii ni ndugai..
Kama aliweza kumuona mke wa yesu, kwa nini ashindwe kumuiba mtoto wa bao la nje.
Bongo hakuna wapelelezi,,nilicheza smart sikuacha loop hole,simu yangu ilitangulia na staff mwenzangu asubuhi.mi nikabaki sina simu,so minara ikawa inasoma nimeondoka dar asubuhi na kufika Dom mchana. am smarter than them copsMtoto ameibiwa saa 5, wewe umeondoka saa 6 au 5 na nusu. Alibi yako hapo ishafeli.
Labda ungeondoka halafu uagize mtu akufanyie hiyo kazi. Ni vile wapelelezi wabongo hawajui tu ila ingekuwa nchi za wenzetu ungekamatwa mapema sana tu.
Fresh ngoja tutazidi kuzipiga izo kaki mpaka muache manenoMna viribatumbo vya uzeeni kisa kaki kaki za chai
Kabisa kabisaNi yeye🤣🤣🙌
4. Aliiteka ndege ya Rais JK enzi hizoKabisa kabisa
- Alimuona mke wa yesu
- Alitembea na binti wa obote
- Amemteka mtoto mwenye utapia mlo
- What next?
Anataka ashki zikuzidi baadae ugeuzwe afande wa zenjiKumwaga nje uniue tu,kinga sijui hata inavaliwaje,hujui utamu wa kumwaga ndani wewe
Hii nimeisahau, ahsante sana kwa ukumbushoMiss Tanania kwa 50000
Mungu atuepushe kwa soteAstaghafulilah