Nilivyomteka nyara mtoto wangu mwenye utapiamlo toka kwa mama yake

Kuna mwaka niko mitaa ya mwananyamala nikakutana na dada fulani wa kizaramo anaitwa Somoe.

Ni wale waswahili OG sema Mungu alimjalia sura na umbo zuri.
Nikaimbisha nikakubaliwa nikawa najimegea show za kibabe.
Tangu nibalehe sijawahi kutana na fundi kitandani kama Somoe

Akanitegeshea mimba akagoma kuitoa,,bahati nzuri alikuwa hapajui home wala kazini,mtoto kuzaliwa sura ya kwangu kabisaa nikajicomit kutoa matunzo.

Kumbe nikituma hela Somoe ananunua madela na kucheza viccoba.
Kuna siku nikasema ngoja nikasalimie damu yangu nimeimiss,kufika mwananyamala mtu mzima chozi likanitoka,nikajiona copy yangu sina viatu wala kandambili,kitumbo kimetuna,nguo chafu makamasi mpaka kidevuni,nywele chafu mtoto hajaoga tangu asubuhi,nikaenda sehemu nikalia machoziii,nikafuta,nikarudi home kutafakari.

Nikatengeneza mazingira ya kumuiba yule mtoto,kulikuwa na safari ya mkoani ya kikazi,nikaenda mwananyamala kabla ya safari nikapiga misele ule mtaa Somoe hayupo ila copy yangu inazurura kitumbo kinazidi tu kwa utapiamlo,nikanyata ili nisionekane nikampakiza kwenye taxi nikampeleka home na kumbadilisha nguo safari ya mkoa ikaanza,nikamdrop morogoro kwa shangazi yangu mimi nikaendelea mpaka Dodoma kikazi,huku nyuma Somoe nasikia akaenda kuripoti polisi,na kutangaza msikitini mtoto kapotea.

Nilifanya makusudi kumuiba siku ya safari ili kutengeneza mazingira ya alabi,(tamka alabai)wanasheria tunaelewa hii.
Na kweli uchunguzi ulipofanyika ikaonekana siku hiyo nilikuwa safarini kikazi.
Somoe alikonda akabaki mifupa takro lote liliisha

Ilichukua miaka mitano Somoe kuja kujua kuwa yule mtoto nilimuiba mimi na hajawahi kumuona tena mtoto yupo na afya nzuri,kitambi kiliisha,anafanya vizuri darasani,nikiona copy yangu napata faraja sana.

Ukihitaji huduma ya kumuiba mwanao ili kunusuru njoo Pm.maana hili zoezi nilisharudia tena kwa mtoto wa rafiki yangu aliyezaa na mwanamke mjinga
Very good baba Copy.
Well done.
 
You are the man mkuu,natamani kujua na hiyo ya rafiki yako ilikuaje...
 
Kuna mwaka niko mitaa ya Mwananyamala nikakutana na dada fulani wa kizaramo anaitwa Somoe.

Ni wale waswahili OG sema Mungu alimjalia sura na umbo zuri.
Nikaimbisha nikakubaliwa nikawa najimegea show za kibabe.
Tangu nibalehe sijawahi kutana na fundi kitandani kama Somoe

Akanitegeshea mimba akagoma kuitoa,,bahati nzuri alikuwa hapajui home wala kazini,mtoto kuzaliwa sura ya kwangu kabisaa nikajicomit kutoa matunzo.

Kumbe nikituma hela Somoe ananunua madela na kucheza viccoba.
Kuna siku nikasema ngoja nikasalimie damu yangu nimeimiss,kufika Mwananyamala mtu mzima chozi likanitoka, nikajiona copy yangu sina viatu wala kandambili, kitumbo kimetuna, nguo chafu makamasi mpaka kidevuni, nywele chafu mtoto hajaoga tangu asubuhi, nikaenda sehemu nikalia machoziii,n ikafuta, nikarudi home kutafakari.

Nikatengeneza mazingira ya kumuiba yule mtoto, kulikuwa na safari ya mkoani ya kikazi, nikaenda Mwananyamala kabla ya safari nikapiga misele ule mtaa Somoe hayupo ila copy yangu inazurura kitumbo kinazidi tu kwa utapiamlo, nikanyata ili nisionekane nikampakiza kwenye taxi nikampeleka home na kumbadilisha nguo safari ya mkoa ikaanza, nikamdrop Morogoro kwa shangazi yangu mimi nikaendelea mpaka Dodoma kikazi, huku nyuma Somoe nasikia akaenda kuripoti polisi, na kutangaza msikitini mtoto kapotea.

Nilifanya makusudi kumuiba siku ya safari ili kutengeneza mazingira ya alabi,(tamka alabai)wanasheria tunaelewa hii.

Na kweli uchunguzi ulipofanyika ikaonekana siku hiyo nilikuwa safarini kikazi.

Somoe alikonda akabaki mifupa takro lote liliisha

Ilichukua miaka mitano Somoe kuja kujua kuwa yule mtoto nilimuiba mimi na hajawahi kumuona tena mtoto yupo na afya nzuri, kitambi kiliisha, anafanya vizuri darasani, nikiona copy yangu napata faraja sana.

Ukihitaji huduma ya kumuiba mwanao ili kunusuru njoo PM maana hili zoezi nilisharudia tena kwa mtoto wa rafiki yangu aliyezaa na mwanamke mjinga.
Duuuh kumbe kuna wanawake wajinga. 🤮🤮🤮🤮
 
You are the man mkuu,natamani kujua na hiyo ya rafiki yako ilikuaje...
Huyu rafiki yangu alioa kabisa mke wa ndoa ,mke akarudi kwao na mtoto.
Mtoto aliyezoea kula vizuri akawa kama chokoraa,tulifunga safari mpaka Ruaha Mbuyuni Iringa tukarudi na Sai baba linalotoka Sumbawanga linapita pale saa kumi kumi na mbili jioni tukiwa na mtoto wetu,
 
Mama wa mtoto hakutafuta,vip ndugu upande wa mama?mlifanikishaje kumchukua?alikuja kugundua hapo baadae?
 
Waligundua ila watiu wa vijijini hawapendi ligi ,na huu mchongo ulimuhusisha polisi mmoja alipewa fungu lake akaweka mambo sawa kwenye ile familia
 
Kuna zile movies za upelelezi huko mambele huna naangalia ule upelelezi wanafanya baadae najiuliza hivi ata hapa Tanzania huwa wanafanya upelelezi wa namna ile?
Mtoto ameibiwa saa 5, wewe umeondoka saa 6 au 5 na nusu. Alibi yako hapo ishafeli.

Labda ungeondoka halafu uagize mtu akufanyie hiyo kazi. Ni vile wapelelezi wabongo hawajui tu ila ingekuwa nchi za wenzetu ungekamatwa mapema sana tu.
 
Back
Top Bottom