Swali muhimu sana1. Ungetoa ushahidi gan usio na Shaka mahakamani? Je ulisaini sehemu wakati unaingia kwenye jengo/lift?
Kuna minyororo huwa inazishikilia ni ngumu kukatika na ingekuwa inakatika ovyo ingekuwa balaaPole sana Mkurugenzi.... Lift hizi Huwa zinaogopesha sana.... Nikiingiaga Huwa nawaza mara mbilimbili....
Kingine Huwa nawaza, vipi ikiporomoka downward! Yaani ifyatuke kushuka chini.... Lahaulaaa....
Siku hizi kuna majengo ya floor zaidi ya 20,kama afya inaruhudu tumia ngazi kwanza ni mazoeziSiwezi kupanda lift bongo hata siku moja
Mlinzi kakaa nje hana ujuzi wowote na likitokea la kutokea pumzi ikate hell no
Napanda kwa kukimbia tu
Mimi pumzi ya kupanda ipo ila ya kufungiwa sehemu siwezi kabisa nina claustrophobiaSiku hizi kuna majengo ya floor zaidi ya 20,kama afya inaruhudu tumia ngazi kwanza ni mazoezi
Kabisa ni jana juzi tu lakini muda umepita aswaaPole sana zile lift ni balaa sanaa....hengo mojawapo kuanza luft jijini dar.....miaka 80 nilipelekwa pale ili kupanda lift tukienda salimia ndugu huko Bima.....!! Pale chini under ground kuna hotel.nzuro ya gharama hivi tulipata lunch na mzee.....maisha safari ndegu sanaaa
Mungu akulinde jela sio poa kabisa kana unatatizo kama lakoMimi pumzi ya kupanda ipo ila ya kufungiwa sehemu siwezi kabisa nina claustrophobia
Najichunga sana na sehemu kama daladala, lift, sehemu yeyote isiyokuwa na hewa ya kutosha
Hata crime naogopa nisije kwenda jela 😄
Is there any Disclaimer Notice that placed at front of the Main Entrance Gate???Mwaka 2001 nilitoka zangu Temeke studio za Soundcrafters kwa Enrico kuchukua single yangu niipeleke Clouds.
nikapitia IFM kwa mpenzi wangu wa kipindi hicho tukapata dinner,ilikuwa mishale ya saa mbili usiku,marehenu Steve B alinipa maagizo kuwa hiyo CD niiache kwa dada flani nadhani ilikuwa floor ya 7,la haulaaaa,kufika floor ys tatu lift ikazima,niko mwenyewe tu,niliyepanda nae alishuka floor ya pili.
Nilijaribu kuiachanisha kwa mikono wapi, nikajaribu kupiga mlango wapi,simu yangu siemens 25 imeshaisha chaji sina ujanja,nikaanza kupiga kekeke wapi,nikabonyeza kengele ya dharura wapi sipati msaada,nikaamua kukaa chini kusubiri muujiza,hapo Oxygen inazidi kuisha,kijasho kinanitoka,nikavua shati nikajaribu tena kupanua mlango nikafanikiwa kwa kiasi cha kupitisha kiganja tu,nikavua kiatu changu na kukiweka jatikati ya milangi ilihewa iingie huku nikisikilizia kama kuna mtu atapita au kushuka hiyo floor,
Mungu si athumani nikasikia mlango wa lift jirani unafunguka ndio nikapiga kelele ya kuomba msaada,yule mshangazi sijui alifanyaje nikaona wanakuja technician na kufungua mlango.
Ile CD nilisahau mulemule Kwenye lift nikarudi zangu nyumbani hapo ni saa nne usiku.Niko tumbo wazi mpaka maeneo ya Steers ndio nikakumbuka kulivaa
Baadae nikafuatilia kopi ya ile single yangu studio,nikaipeleka tena Clouds safari hii kwa tahadhari zote, ule wimbo ulipigwa mara moja tu nikajua nyota njema huonekana asubuhi.
Ingekuwa nchi za watu OTIS watengenezaji wa lift wangenilipa mamilioni
Hapana mimi pia nilishakwama kwenye lifti nilikuwa natoka floor ya kumi ilikwama kisha ikashuka kwa speed na kubamiza chini. Pale maeneo ya Morocco karibu na jengo la airtel. Niliimba nyimbo zote za dini.Wazungu sio wajinga, unachowaza wao walishawaza siku nyingi...hata ikatike hiyo free fall haipo inagota hapo hapo!
Kuna kitu kinaitwa Occupiers liability. Angweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya mmiliki wa jengo.1. Ungetoa ushahidi gan usio na Shaka mahakamani? Je ulisaini sehemu wakati unaingia kwenye jengo/lift?
2.. OTIS wanahusikaje hapo? Ngumu Sana kuishtaki kampuni na ukashinda ukizingatia Kipato chako hoi bin taabani.
Zinafanya kazi mpaka ziue watu ndo wataweka mpyaHizo lift bado zinafanya kazi
Ova
1. "Occupiers liability" unataka ushahidi pia ndugu.Kuna kitu kinaitwa Occupiers liability. Angweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya mmiliki wa jengo.
P.s. kwanini unasema ungekua "ulaya"? Siku hizi utamaduni wa kudai fidia umekua sana Tanzania. Na mahakama zimetoa fidia case nyingi mno.
Mkuu majengo ya biashara hakuna haja ya kuonesha ulikuwepo kihalali. Cha muhimu alikuwepo, maana kama jengo ni "public" lazima watu watalitumia kwa issue mbali mbali. Ingekua jengo la mtu binafsi sawa.1. "Occupiers liability" unataka ushahidi pia ndugu.
2. Angethibitishaje kuwa alikua ndani ya jengo kihalali na sio mwizi? Alikua na appointment (maandishi yaliyotaja siku, tarehe na muda ya mpangaji halali) kwenye hilo jengo au mwenye jengo?
Lift za jengo hilo ni mbovu no service.....Zinafanya kazi mpaka ziue watu ndo wataweka mpya
Amina, namshukuru Mungu sijawahi kufanya kosa hata la traffic offenseMungu akulinde jela sio poa kabisa kana unatatizo kama lako
Kwenye lift kuna emergency button ambayo huwa inafanya kazi bila hata umeme.Mkuu hiyo kumbuka ni 2021 na kwa mujibu wa jamaa ni technical issues