Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Boss kuna kinachokuumiza hata km ni ya kutunga? Na vipi ukiachana nayo ili usipate mfadhaiko wa moyo wa kuwa njia ya panda ya kuwa ya kutunga au si ya kutunga?
Id za jf zenyewe ni za kutunga na kufikirika.
Sasa anapambana na stori tu kwa watu wa kufikirika nao ni uzoba🤣🤣🤣
 
Anaonekana ni mtu poa.. hana kinyongo na ana upendo wa kweli(mfano kwa rafiki yake mtatiro)

Ni mpambanaji sana...kwenye story zake mbili nilizo soma naamini humu humu atakutana na watu wema zaidi wakumtoa kimaisha.
Yes ...amini usiamini hizi story zitamtoa sana.
 
Pole San mkuu Kwa mapito

Ila umeona Sasa kuwa pesa zote hizo ulizo zipata kwa njia ya haramu zote umezulumiwa ,hata huyo aliyekuzulumu nae pia atazulumiwa .Hama Kweli malipo Ni hapa hapa

Imagine being umughaka "
Na aliyemdhulumu naye atadhulumiwa na atakayemdhulumu naye atadhulumiwa mwisho wa siku zitarudi kwa mwenyewe.
Ndo maana mi ukinidhulumu hata sikusemeshi coz I know karma is a b***h and no one know about her
 
Anaonekana ni mtu poa.. hana kinyongo na ana upendo wa kweli(mfano kwa rafiki yake mtatiro)

Ni mpambanaji sana...kwenye story zake mbili nilizo soma naamini humu humu atakutana na watu wema zaidi wakumtoa kimaisha.
Kweli kabisa mimi mwenyewe nilitamani hata kuonana nae na kubadilishana mawazo! Anyone Anaonekana
Anaonekana ni mtu poa.. hana kinyongo na ana upendo wa kweli(mfano kwa rafiki yake mtatiro)

Ni mpambanaji sana...kwenye story zake mbili nilizo soma naamini humu humu atakutana na watu wema zaidi wakumtoa kimaisha.
Kweli kabisa, mwenyewe nilitamani kupata wakati wa kuonana nae ana kwa ana na kubadilishana mawazo!
 
Moja ya kitu watu wengi hasa wenye viburi vya kitaluuma za kukariri wajifunze kwa Dogo Umughaka hana degree kama wao ila alisoma fasihi andishi akaelewa Na akiamua kutumia kalamu kuwa tajiri anaweza, ukiacha usimuliaji ni mwandishi mzuri sana .
Ni kweli kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom