Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Id za jf zenyewe ni za kutunga na kufikirika.Boss kuna kinachokuumiza hata km ni ya kutunga? Na vipi ukiachana nayo ili usipate mfadhaiko wa moyo wa kuwa njia ya panda ya kuwa ya kutunga au si ya kutunga?
Sasa anapambana na stori tu kwa watu wa kufikirika nao ni uzobaš¤£š¤£š¤£