Id za jf zenyewe ni za kutunga na kufikirika.Boss kuna kinachokuumiza hata km ni ya kutunga? Na vipi ukiachana nayo ili usipate mfadhaiko wa moyo wa kuwa njia ya panda ya kuwa ya kutunga au si ya kutunga?
Ya mchawi ilikuea boko laoAll jokes aside, hii na ile tulichomfanya mchawi ipi kali?
Yes ...amini usiamini hizi story zitamtoa sana.Anaonekana ni mtu poa.. hana kinyongo na ana upendo wa kweli(mfano kwa rafiki yake mtatiro)
Ni mpambanaji sana...kwenye story zake mbili nilizo soma naamini humu humu atakutana na watu wema zaidi wakumtoa kimaisha.
Sanaaa, Huyu mwamba ana deserve
Nataka nioe mkurya will you😒😒Asante kaka Umughaka, simulizi nzuri, inafundisha, inafurahisha na kuhuzunisha pia. Yote ni maisha ya watu wengine wanayoyapitia, Mwenyezi Mungu akufungulie milango ya baraka.
Zaidi kwenye huu uzi, nimejua kuna kaka zangu kama wote wa Kikurya...
Lara1 ndio mange kimambiNi sasa hivi nilikuwa nawaza hivi @lara1 yuko wapi. Huyu dada alikuwa vizuri kwenye kuhadithia.
@lara1 popote ulipo kipenzi you are missed here.
Na aliyemdhulumu naye atadhulumiwa na atakayemdhulumu naye atadhulumiwa mwisho wa siku zitarudi kwa mwenyewe.Pole San mkuu Kwa mapito
Ila umeona Sasa kuwa pesa zote hizo ulizo zipata kwa njia ya haramu zote umezulumiwa ,hata huyo aliyekuzulumu nae pia atazulumiwa .Hama Kweli malipo Ni hapa hapa
Imagine being umughaka "
Kweli kabisa mimi mwenyewe nilitamani hata kuonana nae na kubadilishana mawazo! Anyone AnaonekanaAnaonekana ni mtu poa.. hana kinyongo na ana upendo wa kweli(mfano kwa rafiki yake mtatiro)
Ni mpambanaji sana...kwenye story zake mbili nilizo soma naamini humu humu atakutana na watu wema zaidi wakumtoa kimaisha.
Kweli kabisa, mwenyewe nilitamani kupata wakati wa kuonana nae ana kwa ana na kubadilishana mawazo!Anaonekana ni mtu poa.. hana kinyongo na ana upendo wa kweli(mfano kwa rafiki yake mtatiro)
Ni mpambanaji sana...kwenye story zake mbili nilizo soma naamini humu humu atakutana na watu wema zaidi wakumtoa kimaisha.
Makofiiii....
Santee mkiu
Moja ya kitu watu wengi hasa wenye viburi vya kitaluuma za kukariri wajifunze kwa Dogo Umughaka hana degree kama wao ila alisoma fasihi andishi akaelewa Na akiamua kutumia kalamu kuwa tajiri anaweza, ukiacha usimuliaji ni mwandishi mzuri sana .Atunge hata ya uongo tutasoma.
Kikubwa tusikose uandishi wake murua.
Usijali dada zetu ni warembo na wavumilivu utapata mke haswa.Nataka nioe mkurya will you[emoji19][emoji19]
Ni kweli kabisa mkuu.Moja ya kitu watu wengi hasa wenye viburi vya kitaluuma za kukariri wajifunze kwa Dogo Umughaka hana degree kama wao ila alisoma fasihi andishi akaelewa Na akiamua kutumia kalamu kuwa tajiri anaweza, ukiacha usimuliaji ni mwandishi mzuri sana .