Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani


Wewe kiboko
Hukomi eeh😂😂😂😂
 
Maeneo mengi nayajua vizuri, hapo Bunda...Big up
 
ukiona mishe unayofanya hufuatwi na TRA, au POLISI juwa dili lako si la utajiri.
Acha kukalili wewe
Bodaboda kila siku wanasakwa na polisi wana utajiri gani? Malaya wanasakwa na polisi wanautajiri gani??

Bill Gates, Zuckerberg, Musk, Dell, Buffet, Mo, Mengi, Diamond nk nk hawasakwi na polisi wana umaskini gani???
#Mafanikio hayana formula. Linaweza kua dili halali na likakupa umilionea, Linaweza kua dili haramu na lisikupe umilionea.
 
Braza kuvuta bangi siyo ujinga wew ndo mjinga
 
Mambo ya kutrak hua yako dar tu
 
Ngoja tuone maisha ya mgodini yaliendeleaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…