Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

STORY KIUKWELI MIMI NIMEITUNGA.

HALFU KWA KUZINGATIA USALAMA WANGU KUNA TUKIO LISHAWAHI KUTOKEA ARUSHA LA UJAMBAZI WATU WANAWEZA KUUNGANISHA DOT.

jamani kama nyie ni wasomaji wazuri wa story jf story nyingi za kutunga huwa haziishi kama hii.

Maana ana kuwa ana muendelezo kuna jamaa alikuwaga anasimulia sijui kwenda South Africa bila ndugu walipomgutia hakuendelea.

Mpwayungu safari ya lindi iliishia njiani.

So hata na hii haitaweza kuendelea maana ina ukakasi mwingi sana.

How come jambazi akuamini na akupe million zake kwa dk moja tu na kukupeleka kazini bila mafunzo ya silaha
 
Na pale aliposema yule boss wa majambaz alikuwa askari mpelelezi na chini akakanusha kuwa hakuwa askari

Kule kukanusha nazan ilikuwa zuga tu ili watu wenye mamlaka wasije wakamzuia ila naona bado wameamua kumzuia
 
TANGAZO
tunasikitika kuwatangazia kuwa kwa manufaa ya jamhuri na usalama wa ndugu yenu UMUGHAKA simulizi yake imesitishwa haitoendelea tunashukuru kwa upendo na ushirikiano wenu kwa kipi chote alichokuwa nanyi...alisikika mlamba asali mmoja kwa udhamini wa gabi
 
We ndo kiazi kikuu.kwani hizo silaha umesikia wp hapo kwamba wameshaanza kutumia!?
 
Tumejaa tele na kungoja muendelezo Ila kiuhalisia tu focus na vitu vengine hapa HAKUNA muendelezo tena IPO sehem tata sana kiusalama.
 
KAMA KUNA MASTERS INAENDESHA BODABODA HUYO HANA AKILI. MASTERS YAKO UKIIPELEKA KUENDESHA BODABODA UNA KARATASI LA CHUO LAKINI "HUNA AKILI"
Mababu wa Babu zako walisurvive bila masters wala google mzee na wakafanikiwa kukulelea baba na mama yako,Akili ni kichwani kulingana na mazingira masters ni mtindo wa maisha ya kisasa tu kua na heshima

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Wale vihere vihere waluomtago max melo wa JF na kuanza kumtisha sijui utakamatwa sijui nn hao ndo walomponza achilia Hawa wa nitakuchangia kidogo ya mafuta nao hawaikosi lawama hii.

Stori n story tuu we leta, hao wanaotisha n wajinga, kusema mabaya yaliyopita sio kids na lengo n kujifunza mazuri na kuacha mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…