Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Hembu acheni tupate Burudani acheni kumsumbua UmughakaNINA WASIWASI KAMA JAMAA ATARUDI TENA KUMALIZIA.
1. TRUE STORY INAVYOENDA NA KUGUSA VYOMBO VYA DOLA HAIKAWII KUZUIWA. NAKUMBUKA KULE RADIO FREE KUNA KIPINDI CHA "SITASAHAU" KINARUKA KILA JUMAPILI SAA NNE ASUBUHI, KUNA JAMAA ALIKUWA ANAELEZEA STORY YA KWELI ALIVYOKUWA JAMBAZI WAKITEKA MAGARI KATIKA MAPORI HUKO NGARA ILIPOFIKA HATUA TAMU KAMA HII MAMLAKA ZA JUU ZIKAIPIGA BAN.
2. JAMAA ANAZUGA NI BODABODA. KWA HUU MWANDIKO WAKE NA MTIRIRIKO ANAOANDIKA INAONEKANA KABISA JAMAA NI MTU ALIYETULIA NA AKILI TIMAMU SANA. HII KUJIITA NI BODA BODA NI KICHAKA TU KAJIFICHA.View attachment 2404371
Tunajifunza kupitia makosa ....... uoga na hofu viweke pembeni stori itakujaLazima amefatwa pm kuambiwa aishie alipoishia maana kunakoelekea ni kuwafundisha majambazi mbinu zaidi.
Usimhukumu mtu kama humjui point YAKO ya pili eti anajiita bodaboda ni kichaka cha kujifichia mbona ww ID YAKO haiendani na jina lako halisi na sio mhalifu ......stori ishushwe tu kama haiwapendezi piteni kushoto maswala ya kukatishana tamaaa yashapitwa na wakati UMUGHAKA shusha vitu ukipata nafasiNINA WASIWASI KAMA JAMAA ATARUDI TENA KUMALIZIA.
1. TRUE STORY INAVYOENDA NA KUGUSA VYOMBO VYA DOLA HAIKAWII KUZUIWA. NAKUMBUKA KULE RADIO FREE KUNA KIPINDI CHA "SITASAHAU" KINARUKA KILA JUMAPILI SAA NNE ASUBUHI, KUNA JAMAA ALIKUWA ANAELEZEA STORY YA KWELI ALIVYOKUWA JAMBAZI WAKITEKA MAGARI KATIKA MAPORI HUKO NGARA ILIPOFIKA HATUA TAMU KAMA HII MAMLAKA ZA JUU ZIKAIPIGA BAN.
2. JAMAA ANAZUGA NI BODABODA. KWA HUU MWANDIKO WAKE NA MTIRIRIKO ANAOANDIKA INAONEKANA KABISA JAMAA NI MTU ALIYETULIA NA AKILI TIMAMU SANA. HII KUJIITA NI BODA BODA NI KICHAKA TU KAJIFICHA.View attachment 2404371
Jitu zima unalilia mwanaume akuletee story kimaa NiniWe msela mbona unashobo sana na Jamaa, mda wote kujichekesha chekesha, acha shobo utapigwa mbupu
Hahaha[emoji81][emoji81]jina la mwandishi ni baya lakini linavyo itwa kimahaba kudadeki
Kwani bodaboda hawajatulia?NINA WASIWASI KAMA JAMAA ATARUDI TENA KUMALIZIA.
1. TRUE STORY INAVYOENDA NA KUGUSA VYOMBO VYA DOLA HAIKAWII KUZUIWA. NAKUMBUKA KULE RADIO FREE KUNA KIPINDI CHA "SITASAHAU" KINARUKA KILA JUMAPILI SAA NNE ASUBUHI, KUNA JAMAA ALIKUWA ANAELEZEA STORY YA KWELI ALIVYOKUWA JAMBAZI WAKITEKA MAGARI KATIKA MAPORI HUKO NGARA ILIPOFIKA HATUA TAMU KAMA HII MAMLAKA ZA JUU ZIKAIPIGA BAN.
2. JAMAA ANAZUGA NI BODABODA. KWA HUU MWANDIKO WAKE NA MTIRIRIKO ANAOANDIKA INAONEKANA KABISA JAMAA NI MTU ALIYETULIA NA AKILI TIMAMU SANA. HII KUJIITA NI BODA BODA NI KICHAKA TU KAJIFICHA.View attachment 2404371
Chimbo ni Bunju BOyi mlio leta ishu ta kutaka kumuungia Mwamba za mafuta ( kumchangia tuelekezi Mchizi yupo chimbo gani..haya mambo ndio maana wana wana Hustle kibao wanashindwa kushea sababu ya wadwanzi flani flani.
Na hirizi anayo! 😂Acheni wenge Umughaka yupo gadoo hatishiki kizembe kwanza ana Mbinu zote za umafia plus ukurya sasa!!! wapi muraaaaaa
Humu watu wanapenda kuCatch feeling kweli hata kwa vitu visivyofaa. Wanajikuta washakua Profilers wa FBI mara Sijui file halijafungwa, mara ishia hapo utatafutwa and so many other bullshitin.
Hii ni simulizi kama simulizi soma Enjoy kula kona, apost asipost fresh tu sio ndio kujifanya mshakua wachambuzi wakati unajua kwenye Topic ya uchambuzi wa vitabu ulitaga au bellow average.
Huko ndio kunasababisha wasimuliaji wengi kuamua kuacha kusimulia ajili ya ujuaji usio na maana.
Hear, Hear.
Stori kuitwa simulizi ya kweli haimaanishi ni kweli kilimtokea muhusika au kiliwahi kuntokea mtu. Watu hua wanapenda kuweka hiyo caption ya True Story ili tu kupata Traffic/Audience kubwa kwenye simulizi zao. So wewe ukisoma hapa usijifanye unajua sana kumshauri muandishi. Soma Enjoy pita hivi[emoji117]
.
.
.
Daaamn...! I'm so Cold[emoji85]
Chai kama chai
View attachment 2404522