Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Kwa kusimulia ni rahisi sana. Ila mtanzania akiona hela akili ya kukataa huwa haipo haswa kama una shida ya hiyo hela. 2. Kuwakimbia askari wawiliπŸ˜‚ anyways acha tusome story ila tusilete ushabiki wa kimpira mpira
 
Hapa ndo pale mtu unacheki movie ukiwa umekaza mwili mzima kuogopa kitakacho tokea... ukikumbuka msimuliaji ndo sterling unajipa moyo.... Enhee.......
Third person point of view ...tunawaita Omnicient
Aisee Wewe Ni jambazi
 
950, 000/- each, out of 50M+ and today our UMUGHAKA is dreva bodaboda you get what I mean? Mwishoni itakuwa walidhulumiwa hawa vijana [emoji5][emoji846][emoji5][emoji846]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
DAAAH NOMA SANA LAMADI NDIO HOME KABISA! STORI YAKO NIMEIPENDA SANA KWA SABABU MAENEO ULIYOTAJA NIMEISHI,TARIME,SIRARI, DAAAH STORI TAMU SANA HII
 
Hivi kwanini baadhi ya mademu wa kaskazini kwa Asilimia kubwa wanatumika sana kwenye ujambazi/ utapeli??
Natanguliza samawani![emoji854]
Siyo Kweli ,mtu yoyote anaweza kuwa involved ktk uhalifu kutoka pande yoyote

Ila ujasiri pia upo kazikazn ujasiri Kama wa mtatiro
 
We msela mbona unashobo sana na Jamaa, mda wote kujichekesha chekesha, acha shobo utapigwa mbupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji23]

Hata mi nimeshangaa
 
Mademu wa arusha Get rich or die trying.
Madem wa sehemu zingine Be poor while watching saluni ya mama kimbo
Ni kweli kabisa! Tena hawa wa pwani ukichelewa wanapiga kelele sana,lakini wa kaskazini hata usirudi cha muhimu siku ukirudi uwe na mzigo! Sio unawahi nyumbani kugombania rimoti TV na watoto.
 
Siyo Kweli ,mtu yoyote anaweza kuwa involved ktk uhalifu kutoka pande yoyote

Ila ujasiri pia upo kazikazn ujasiri Kama wa mtatiro
"ila ujasiri pia upo kaskazini kama wa mtatiro"
βœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈβœ”οΈπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Kwa kusimulia ni rahisi sana. Ila mtanzania akiona hela akili ya kukataa huwa haipo haswa kama una shida ya hiyo hela. 2. Kuwakimbia askari wawiliπŸ˜‚ anyways acha tusome story ila tusilete ushabiki wa kimpira mpira
Mmetekwa na mipira, kila kitu mnakiringanisha na mpira tu. Kama utaona ni ushabiki wa kimpira sawa. Ila kukua kwangu, enzi hizo kukamata uzurulaji ilikuwa imeenea sana. Group letu ilikuwa ni kujifunza tu namna ya kuwatoka mamwela. Tumewakimbia sana. Sio ushabiki tu.
 
Hivi kwanini baadhi ya mademu wa kaskazini kwa Asilimia kubwa wanatumika sana kwenye ujambazi/ utapeli??
Natanguliza samawani!πŸ™ƒ
Ni sijui ni kwa nn kuna mmja alivamia mpesa tatu sa mbili usiku ilipigwa risasi moja mtaa mzima vumbi tu huyo wa mpesa ilokusudiwa akuumizwa badae anakuja kusema ni dem anaongea kiarusha alikua kavaa mgoroli wa kimasai namzula na bandana nyeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…