Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Kwa kusimulia ni rahisi sana. Ila mtanzania akiona hela akili ya kukataa huwa haipo haswa kama una shida ya hiyo hela. 2. Kuwakimbia askari wawili😂 anyways acha tusome story ila tusilete ushabiki wa kimpira mpiraYaani ulikuwa boya sana. Nafasi mbili ulizichezea. Ya kwanza huyo tajiri yako alikuwa anajua sana madili. Kwanza alikuwa hawasiriani na wewe mara kwa mara. Pili alikuwa hajawahi kukuuliza uko wapi. Tatu mwanamke wake alikuwa hajawahi kukupigia. Hizo sheria zote ilitakiwa uzitii na kuzikarili, sio lazima uambiwe ndio sheria za kazi. Hivyo baada ya meanamke kukupigia tena wewe pia ulitia shaka jinsi alivyoongea na wewe. Na pili simu ya boss wako umepiga inaita tu. Na unajua mnafanya kazi isiyo halali. Hiyo ilikuwa nafasi yako ya kwanza Ku-escape
Pili umeshajiingiza mzima mzima na umejua hawa mandata. Umepewa nafasi kupita nao kitaa hujafungwa pingu na kuna mahala ulibaki wewe na mwela mmoja tu. Najiamini sana kwenye mbio. Nikimuacha mtu hatua moja tu ahesabu maumivu. Siwezagi kuvumilia niingie selo na nafasi ya Ku-escape iko mikononi mwangu