Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mkuu Arovera Kama mnataka kunichangia hela ya mafuta njoeni PM niwape namba,tatizo hapa ukitoa namba watu wanajua umekuja kutafuta pesa,pesa nazitaka sana lakini sitaki ionekane naandika ili nipate pesa!.
Nia na lengo la huu uzi ni watu wasome wajifunze,kama kuna mtu anataka kunichangia pia siyo mbaya mkuu,unanicheki tu PM nakutumia namba ila sitoweza kuweka namba yangu hapa kwasababu kadha wa kadha mkuu!.
Kwanini uchangiwe wakati unaandika kutuburudisha? Acha njaa. Andika watu tunapokuwa free tunaburudika. Unasema wajifunze wajifunze nini? Huwa nyie jamaa mnaandika andika hivi mnaanza kudhani kuwa mnatia material na watu wanahitaji wafaulu. So mnaanza kutumia IDs zenu nyingine kujipasia mfunge. Hilo suala la kukuchangia tukuchangie we unalipa kupost hapa? Umepewa bure toa bure. Acha kutaka kutapeli watu.