Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Siku aje JF kuimba uone kama tutamlipa.hii mbinu ya kutaka kuwatapeli watu kwa kutumia IDs zako nyingine kujipigia debe tunaifahamu sana.Diamond ni mburudishaji, Huwa anaburudisha bure?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku aje JF kuimba uone kama tutamlipa.hii mbinu ya kutaka kuwatapeli watu kwa kutumia IDs zako nyingine kujipigia debe tunaifahamu sana.Diamond ni mburudishaji, Huwa anaburudisha bure?
Afadhali umegundua hilo. Unakuja jipigia promo uwatapeli watu. Leta stories. Hutaki lala mbele. Wewe JF imekutoza nini? Hatutaki wezi humu. Povu lako kafulie nguo uwe msafi na lingine kaoshee ubongo...🤣 Mnaleta njaa zenu JF... Hatujaomba story.umeleta then unataka ulipwe we unaleta udangaji humu.Mbona povu,jamaa mbona kaeleweka vzr,we mshkaji huna akili kabisa.
Hapa watu unawaandaa kwenda waibia. Na pia kuna watu wanatafutwa wajichanganye.... Wewe lete story humu hamna haja ya kuonana. Unataka uwateke na kuwaibia watu?hizi mbinu tunazijua. Usione tumo humu ukadhani wajinga.... Lete story weka episode nyingine leo haraka. Acha ujinga wa kutaka pesa kibwege. Lete story nasubiri.Wakuu habari za leo?
Bila shaka nyie ni wazima kabisa ndugu zangu,poleni sana,Aisee nimetoka kidogo nje ya mji nipo mkoani tulileta Msiba,hivyo nisubirieni nikirudi nakuja kuendelea na kumalizia sehemu kidogo iliyobaki!.
Pia niwatoe hofu hakuna mtu yeyote aliyenitisha wala kuzuia eti nisisimulie,hilo wala lisiwape tabu!.
Vilevile nimejaribu kupitia comments za watu nimeona positive na negative opinions,hii ndiyo akili ya mwandamu siku zote,ukipenda tu usifiwe katika maisha basi wewe utakuwa na matatizo ya utindio wa ubongo!,mimi niendelee kuwaomba watu wanaotoa negative comments wala wasitukanwe na kukejeliwa!,acheni nao waji mwaye mwaye kwa kutumia uhuru vizuri wa kutoa maoni!.
Nilisema nia na lengo ni kufundisha watu,wengine haya ndiyo yalikuwa maisha yetu enzi hizo.
Narudia tena kuwaambia ya kwamba mimi kazi yangu ni bodaboda na napatikana bunju,yeyote anayetaka kuonana na mimi kuja kijiweni napo paki bodaboda yangu basi aje pm nimtumie namba anitafute nimuelekeze aje anione tupige stori,sasa mkiendelea kubisha ya kwamba mimi si bodaboda hiyo haisaidii kwasababu utakuwa ni mjinga tu unayetaka kubisha bila sababu ya msingi wakati mimi muhusika nipo bunju tu hapo ambapo unaweza kufika ili ubishi wako uishe!.Kama nilikuwa mpiga debe ni kitu gani kinizuie kuendesha bodaboda?,mimi sichagui kazi wakuu ili mradi iwe halali,sasa hivi sitaki kuiba cha mtu!.
Mimi kuandika vizuri ndiyo ikufanye uamini mimi si bodaboda?.Kupanga ni kuchagua.
Vumililieni narudi mjini kesho kutwa,nikifika naendelea ndugu zangu!.
Ikumbukwe haya ni maoni yakoHumu watu wanapenda kuCatch feeling kweli hata kwa vitu visivyofaa. Wanajikuta washakua Profilers wa FBI mara Sijui file halijafungwa, mara ishia hapo utatafutwa and so many other bullshitin.
Hii ni simulizi kama simulizi soma Enjoy kula kona, apost asipost fresh tu sio ndio kujifanya mshakua wachambuzi wakati unajua kwenye Topic ya uchambuzi wa vitabu ulitaga au bellow average.
Huko ndio kunasababisha wasimuliaji wengi kuamua kuacha kusimulia ajili ya ujuaji usio na maana.
Hear, Hear.
Stori kuitwa simulizi ya kweli haimaanishi ni kweli kilimtokea muhusika au kiliwahi kuntokea mtu. Watu hua wanapenda kuweka hiyo caption ya True Story ili tu kupata Traffic/Audience kubwa kwenye simulizi zao. So wewe ukisoma hapa usijifanye unajua sana kumshauri muandishi. Soma Enjoy pita hivi[emoji117]
.
.
.
Daaamn...! I'm so Cold[emoji85]
Chai kama chai
View attachment 2404522
Jamaa anajichanganya katika utunzi. Mi nasubiri amalize nimpe ukweli wake. Maana hii story anachanganya changanya na visa toka kwa MvyekuleKAMA KUNA MASTERS INAENDESHA BODABODA HUYO HANA AKILI. MASTERS YAKO UKIIPELEKA KUENDESHA BODABODA UNA KARATASI LA CHUO LAKINI "HUNA AKILI"
NdioLakini unakuwa JF sema huifungui. Sio?
Wakuu habari za leo?
Bila shaka nyie ni wazima kabisa ndugu zangu,poleni sana,Aisee nimetoka kidogo nje ya mji nipo mkoani tulileta Msiba,hivyo nisubirieni nikirudi nakuja kuendelea na kumalizia sehemu kidogo iliyobaki!.
Pia niwatoe hofu hakuna mtu yeyote aliyenitisha wala kuzuia eti nisisimulie,hilo wala lisiwape tabu!.
Vilevile nimejaribu kupitia comments za watu nimeona positive na negative opinions,hii ndiyo akili ya mwandamu siku zote,ukipenda tu usifiwe katika maisha basi wewe utakuwa na matatizo ya utindio wa ubongo!,mimi niendelee kuwaomba watu wanaotoa negative comments wala wasitukanwe na kukejeliwa!,acheni nao waji mwaye mwaye kwa kutumia uhuru vizuri wa kutoa maoni!.
Nilisema nia na lengo ni kufundisha watu,wengine haya ndiyo yalikuwa maisha yetu enzi hizo.
Narudia tena kuwaambia ya kwamba mimi kazi yangu ni bodaboda na napatikana bunju,yeyote anayetaka kuonana na mimi kuja kijiweni napo paki bodaboda yangu basi aje pm nimtumie namba anitafute nimuelekeze aje anione tupige stori,sasa mkiendelea kubisha ya kwamba mimi si bodaboda hiyo haisaidii kwasababu utakuwa ni mjinga tu unayetaka kubisha bila sababu ya msingi wakati mimi muhusika nipo bunju tu hapo ambapo unaweza kufika ili ubishi wako uishe!.Kama nilikuwa mpiga debe ni kitu gani kinizuie kuendesha bodaboda?,mimi sichagui kazi wakuu ili mradi iwe halali,sasa hivi sitaki kuiba cha mtu!.
Mimi kuandika vizuri ndiyo ikufanye uamini mimi si bodaboda?.Kupanga ni kuchagua.
Vumililieni narudi mjini kesho kutwa,nikifika naendelea ndugu zangu!.
Ni sawa kujiajiri ni kuzuri ila hii ya Bodaboda kupiga 90,000 per day mzee ni TATEPA.
shindwa pepo,
kuna pepo mchafu kapitaMbona makasiriko humu ndani?
Kumbe bodaboda hawana akili timamu?NINA WASIWASI KAMA JAMAA ATARUDI TENA KUMALIZIA.
1. TRUE STORY INAVYOENDA NA KUGUSA VYOMBO VYA DOLA HAIKAWII KUZUIWA. NAKUMBUKA KULE RADIO FREE KUNA KIPINDI CHA "SITASAHAU" KINARUKA KILA JUMAPILI SAA NNE ASUBUHI, KUNA JAMAA ALIKUWA ANAELEZEA STORY YA KWELI ALIVYOKUWA JAMBAZI WAKITEKA MAGARI KATIKA MAPORI HUKO NGARA ILIPOFIKA HATUA TAMU KAMA HII MAMLAKA ZA JUU ZIKAIPIGA BAN.
2. JAMAA ANAZUGA NI BODABODA. KWA HUU MWANDIKO WAKE NA MTIRIRIKO ANAOANDIKA INAONEKANA KABISA JAMAA NI MTU ALIYETULIA NA AKILI TIMAMU SANA. HII KUJIITA NI BODA BODA NI KICHAKA TU KAJIFICHA.View attachment 2404371
Kuna mashetani wamevamia uziMbona makasiriko humu ndani?
Yaani huyu nae ety anasema Ana akili timamu??? DuuuuuuuuhHapa watu unawaandaa kwenda waibia. Na pia kuna watu wanatafutwa wajichanganye.... Wewe lete story humu hamna haja ya kuonana. Unataka uwateke na kuwaibia watu?hizi mbinu tunazijua. Usione tumo humu ukadhani wajinga.... Lete story weka episode nyingine leo haraka. Acha ujinga wa kutaka pesa kibwege. Lete story nasubiri.
[emoji23][emoji23]Hapa watu unawaandaa kwenda waibia. Na pia kuna watu wanatafutwa wajichanganye.... Wewe lete story humu hamna haja ya kuonana. Unataka uwateke na kuwaibia watu?hizi mbinu tunazijua. Usione tumo humu ukadhani wajinga.... Lete story weka episode nyingine leo haraka. Acha ujinga wa kutaka pesa kibwege. Lete story nasubiri.
UMUGHAKA halipwi na mtu wala hajamuita mtu yoyote kufuatilia nyuzi zake. Nashangaa, kwanini hawamgombezi Pascal Mayalla asipochapisha kwnye jukwaa la siasa. Wala hawamsakami Mshana Jr asipo post yale mambo yaleeeeMbona makasiriko humu ndani?