Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Sikuona umuhimu wa kuwabeba Umughaka na Mtatiro,naona hii show ilikuwa inamtosha JIPE tu au waliwachukua ili wazalishe kizazi kingine cha ujambazi
Ilikua Orientation
 
Unajua watanzania wengine sijui akili zao zikoje kwa hiyo bododa asimiliki desktop kwa kuwa yeye anamaisha duni au vipi watu wanafikra finyu kweli aisee
Waswahili tuna majungu sana ndugu yangu!

Na hii inatufanya tunakua na nafsi kama za kishirikina hivi, tuna roho kwatu, tuna mioyo ya kizombie... Kifupi tuna mambo ya kipuuzi sana.

Yeye mwenyewe apo anatumia ID fake hakuna aliyemuuliza wala kumhoji hivi ama vile...

Sasa ndugu yetu hapa kaamua kujichukulia mda wake kutoa simulizi yake no matter ni kweli ama si kweli lakini kwa werevu hujifunza kwa kila mtu anenalo.

Sasa badala ya kufatilia story, watu wanaanza kujadili maisha ya mtu! WTF, aliyeturoga nani sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Story kama hivo ipo kwa lengo la kujifunza na kujiburudisha, Kutaka kuyajua sana maisha ya mtu binafsi hicho ni kihere here na ushilawadu wa ki**nge!

Hapa tusome story, tumalize tupite kule... Sasa mtu anakataa story sio ya kweli utafikiri alikuwa anaishi nae jamaa 24hrs a day maisha yake yote so anamjua nje ndani hivo amekaa kinaba naba kumthibitisha!

Tukiamua kuamini story tuamini... Anayeona ni chai abaki hivyo hivyo ila wa kujifunza kutokana na story husika watajifunza pia!

Waswahili tupunguze Ramli zisizo na maana!
 
Back
Top Bottom