Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ha haa hapana bwana. Uandishi wao ni tofauti kabisa.Lara1 ndio mange kimambi
Sijui lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haa hapana bwana. Uandishi wao ni tofauti kabisa.Lara1 ndio mange kimambi
Ni kweli hata mimi niliwahi kuliwaza hilo. Lara1 na mange nadhani ni kitu kimojaLara1 ndio mange kimambi
Fuatilia post zake za miaka ya 2014Ha haa hapana bwana. Uandishi wao ni tofauti kabisa.
Sijui lakini.
ID ya lara1 haipo tena, labda kama alibadili jinaFuatilia post zake za miaka ya 2014
Mkuu mimi nilibahatika kufuatilia ilikuwa last December kama sikosei ndio nikang'amuaID ya lara1 haipo tena, labda kama alibadili jina
Sawa sawa mkuuMkuu mimi nilibahatika kufuatilia ilikuwa last December kama sikosei ndio nikang'amua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwana acha matusi dhidi yangu kwamba mm najipendekeza kwa umaghakaMbona umekua na kiherehere sana kwa umughaka anagalia asije akakupiga mbupu, unajipa umuhimu kwake ambao hauna
Barikiwa waitu😆Santee mkiu
Ya mchawi nyoko sana....aaah achana na mzee MokonoAll jokes aside, hii na ile tulichomfanya mchawi ipi kali?
Huyu jamaa kama sio man mkamilifu!sijui lakini ila si kwa shobo hii [emoji848][emoji848]Mbona umekua na kiherehere sana kwa umughaka anagalia asije akakupiga mbupu, unajipa umuhimu kwake ambao hauna
Yule dada kule Musoma yuko smart alitumia simu yake kumuita Umughaka na akaenda..dada smart sana.. profesawaaganojipyaaskari gani smart,atumie simu ya rafiki yako kukupigia kwa sauti yake?lazima angemwambia mtatiro ndo apige,kama kwa yule dada wa pesa za bandia,kule musoma alipiga yeye kumwita umughaka,na akaenda.
Manjagu wangekuwa wanamsubiri pale getini Bugando na wangemkamata kama kuku.Sasa mtu ameachana na rafiki yake akiwa anaumwa na simu imepigwa kutokea Bugando Hospital, logically alishajua jamaa yake Mtatiro amezidiwa.
Nashukuru umetumia neno "hadithi". Kila mtu anajua maana ya hadithi.Umughaka, unakipaji kikubwa sana, hadithi imekidhi vigezo kwa kugusa nyanja mbalimbali za maisha yetu.
Nimeburudika, nimejifunza na kuelimika. Barikiwa sana sana!
"Kama mnaona story ina chai nyingibsi mpite tu kimya kimya"Huu ndio ujuaji wa kijinga kila mda tunauzungumzia. Mbona mnajikuta ma-director sana kwenye kibwebwe kisicho wahusu. Mkiona ana puyanga si mkae muandike za kwenu kisha mziweke vile mnavyotaka ziwe?
Kwenye mtiririko wa story ake kuna mahala aliposema ye ni Jambazi konki? Kuna chuo amekwambia au amesimulia kua alienda kusomea ujambazi hivo keshakua Pro so hakupaswa kufanya mistake alizofanya?
Na namna mnavyoziona hizo mistake za kihalifu so mnataka kutushawishi tuone kua nyie ndio mijambazi mlio kubuhu so mnazijua mbinu zote au vp?
Waswahili tuna shida gani lakini? Mnachowashwa kitu gani kwani? Kama story mnaona ina chai nyingi si mpite tu kule kimya kimya [emoji1787]...
Em acheni ujuha wa kipumbafu, kaandikeni zenu basi zilizo 100% perfect. Mnaboa sana! Huo ujuaji wenu em uwekeni kwenye maisha yenu ya kila siku yawe perfect ili msikae jukwaani mnasubiri story za uongo!
Mijitu mizima ya hovyo kabisa, wakati wengine wanasoma kujiburudisha yenyewe yanasoma kutafuta makosa utafikiri yanafanya udahili wa waandishi. Hivi na huko mtaani kwenu mnaishije na jamii zenu watu wa aina yenu mmh?
My MCE (man crush everyday ) ni UMUGHAKA
Tena wewe ni JF man of the year kwa maoni yangu. Wanaume wengi wanaposimulia simulizi kama hizi mara nyingi huwa wanasusa kutokana na kelele na kukatishwa tamaa na wana JF wenye mdomo ila wewe umekaza hasa hadi umemaliza. Wewe ni kidume na nusu.
Shukrani sana UMUGHAKA
We umeshindwa kuelewa mwenzake aliondoka akiumwa?mpiga simu ilitaja Bugando hospital lazima aliunganisha dots tu!UKO KWENYE GENGE LA UJAMBAZI, UMETOKA KUFANYA UJAMBAZI. UNAPIGIWA SIMU NA MTU HUMJUI (ingawa alitumia simu ya mtu wako) ANAKUAMBIA UJE SEHEMU FULANI, UNAFUNGA HARAKA BIASHARA NA KUJIPELEKA..
.![]()
INAWEZEKANA HUYO MTATIRO KAKAMATWA NA AMEBANWA ATAJE WASHIRIKA WAKE WA UJAMBAZI, UMUGHAKA UNAJIPELEKA!!!!! JAMBAZI HAWEZI KUWA NA AKILI YA HOVYO HIVI.
Sauti "Wewe bila shaka ni Umughaka"
Mimi "Ndiyo"
Sauti "Hebu kama unaweza njoo hapa Bugando"
Mimi "Niko mbali kidogo"
Sauti "Uko nje ya Mwanza?"
Mimi "Nipo Hungumalwa"
Sauti "Jitahidi ufike haraka"
Sikutaka kupoteza muda pale mnadani,nilichukua mzigo wangu nikaufunga
Kutoka Dar hadi mbeya ni siku tano?? Yaani 5?? Hata wanaoenda Marekani hawaendi hivyo. Kama ana ndugu huko huwa anaenda kuwaona na anaenda kumuona na Gabi je?Hiv unajua pesa zilivyo tamu na maisha yalivyobana,sasa eti uache kazi yako ukamuone mtu alieko mbali ambako utatumia karibia siku 5