Nilivyonusurika kuchomwa moto nikiwa dukani usiku wa saa 9 South Africa

Nini kimekufanya useme Tz hali mbaya sana wakati sisi tupo tunaishi mkuu?
 
Kawaida sana Mkuu, chuma ni kama kisu kwa south, hivyo visu ni kama jiwe Mkuu

Nchi ambayo kupoteza maisha kwa kuuliwa ni simple sana
Hapa ndipo huwa nasema waafrika tulipoambiwa bado hatuna uwezo wa kujitawala ilipaswa tukubali. South Africa haikuwa na uhalifu, madawa au wingi wa wageni kabla ya mwafrika kushika hatamu. Warudishe nchi kwa makaburu hawa kima!
 
Hali mbaya sana ya usalama kwenye ile nchi, drugs/madawa kama karanga aisee unauziwa popote mchana kweupee
 
Nini kimekufanya useme Tz hali mbaya sana wakati sisi tupo tunaishi mkuu?
Mkuu kuna wakati huwa nafikiria kuwa watanzania tuna ubongo wa nyumbu na si wa binadamu wa kawaida. Hivi mnajua 29/10 kilitokea kitu kisicho cha kawaida kabisa hasa kwa mtu uliyekuwa mji iliyokumbwa na maandamano?Unaweza kusema kabisa ile siku mtu yeyoye ungeweza kuuawa kwa kupigwa risasi bila kosa lolote na usionekane tena. I mean kuna watu wengi kweli waliuawa wakiwa wanakwenda kununua dawa, kutafuta chakula cha watoto wakitoka kwenye misiba...... Halafu asilimia kubwa ya watu wanaendelea kuishi utadhani hakuna kilichotokea. Yaani ni nyumbu anapokamwatwa na kuliwa huku wengine wanaendelea kula bila kujali.
 
It’s very painful.. Mkuu… , inauma sana kwa kweli sio mzaha
 
Pole sana mkuu.

Umefanya vyema kurudi nyumbani.

Weka jitihada kutafuta kitu cha kufanya utapata tu.

Ila mimi South Africa sitakanyaga hata kutalii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…