Nilivyonusurika kuchomwa moto nikiwa dukani usiku wa saa 9 South Africa

Nilivyonusurika kuchomwa moto nikiwa dukani usiku wa saa 9 South Africa

Sawa, sasa ngoja nikupe data za mauaji cape town ndani ya siku moja tu, then uamue mwenyewe unaenda au unabaki.

Cape Flats shooting incidents 18/05

*Kalkfontein, Kuils River:

Two people were shot in the early hours of this morning in Kalkfontein. One of the victims died on the scene while the other wounded.

*Parkwood:

Two males were shot and killed this morning in Eric Viljoen Road in Parkwood, Grassy Park.

*Manenberg:

A male was shot this morning in Renoster Road in Manenberg.

*Leonsdale, Elsies River:

A male was shot dead in his house this morning in Bourne Street, Leonsdale.

*Steenberg:

Three people were shot this afternoon in Sullivan Street. One male died on the scene, one female shot in the stomach and seriously wounded and another male shot and wounded in the leg.

*Kalkfontein, Kuils River:

Four people were shot on the corner of Elmarie & Dorothy Streets. One male died on the scene while the other three victims left wounded.

*Cafda, Retreat:

In retaliation to the Sullivan Street shooting, a male was shot and killed this afternoon in 11 Ave in Cafda, Retreat.

*Hillview, Lavender Hill:

Shots were fired from a vehicle this evening in Potberg Road in Hillview. A male was shot and killed and a female child shot and wounded in her hand.

Hali ni hiyohiyo kila siku! Unakuja au umeahirisha?
 
Hali mbaya sana kwenye nini specifically?
Hali mbaya ni kiujumla

Nnaweza nikakwambia tu watu walivyouliwa October 29 tu na tukaishia hapo kujadili Mkuu, ila sector nyingi sanaa hali mbaya
 
Sawa, sasa ngoja nikupe data za mauaji cape town ndani ya siku moja tu, then uamue mwenyewe unaenda au unabaki.

Cape Flats shooting incidents 18/05

*Kalkfontein, Kuils River:

Two people were shot in the early hours of this morning in Kalkfontein. One of the victims died on the scene while the other wounded.

*Parkwood:

Two males were shot and killed this morning in Eric Viljoen Road in Parkwood, Grassy Park.

*Manenberg:

A male was shot this morning in Renoster Road in Manenberg.

*Leonsdale, Elsies River:

A male was shot dead in his house this morning in Bourne Street, Leonsdale.

*Steenberg:

Three people were shot this afternoon in Sullivan Street. One male died on the scene, one female shot in the stomach and seriously wounded and another male shot and wounded in the leg.

*Kalkfontein, Kuils River:

Four people were shot on the corner of Elmarie & Dorothy Streets. One male died on the scene while the other three victims left wounded.

*Cafda, Retreat:

In retaliation to the Sullivan Street shooting, a male was shot and killed this afternoon in 11 Ave in Cafda, Retreat.

*Hillview, Lavender Hill:

Shots were fired from a vehicle this evening in Potberg Road in Hillview. A male was shot and killed and a female child shot and wounded in her hand.

Hali ni hiyohiyo kila siku! Unakuja au umeahirisha?
Mauaji south africa yapo juu sana, maana mkisikia tu fulani amekufa lazima muulizane kuwa kapigwa gun au kisu.. mkiambiwa ugonjwa au kaanguka tu mnashukuru kana kwamba hajafa wakati amekufa.. hatari
 
Wako watu Wana makaratasi pia wanapigwa, halafu ni watu weusi Tu ndio nawaona. Mimi naona Waafrika tunaongoza kutesana na kubaguana wenyewe Kwa wenyewe kuliko Wazungu wanavyotufanyia....Licha mabaya ya Wazungu lakini wametuzidi Ile Compassion mbali Sana, Sisi Tunaishi kama manyani vile.
 
Juzi nimeona clip walee viongozi wa kufukuza wageni SA Wanawakumbatia wageni na kufurahi nao barabarani.. aisee

Huko ukimgusa mzungu ni zinga la kesi mzee ni kifungo cha maisha kama sio miaka 70 na zaidi

Tukiuana weusi kwa weusi.. unafungwa kwa mwaka mpaka miaka miwili

Ukimuua mzungu mzee.. unakula kifungo cha maisha na misindani ya sumu juu.. ya kukudhoofisha
 
SA Ni hatari pale
kuna jamaa yangu alichomwa kisu tukazika hukohuko

Huku TZ tukazika Picha
Wazawa hawapendi wageni ingawa wageni baadhi kama wanaigeria ni wasumbufu sana!
 
Hivi south amekosekana kiongozi wa kudhibiti mazima hao wahuni? Kama wale wahuni wa Elsavado walivyo dhibitiwa.
Wakiwa kwenye harakati zao za kufukuza wageni au kufanya vurugu, askari police wanakuwa wapo pembeni na hawatulizi vurugu wala nn? Kama wanawapa sapoti hivi
 
SA Ni hatari pale
kuna jamaa yangu alichomwa kisu tukazika hukohuko

Huku TZ tukazika Picha
Wazawa hawapendi wageni ingawa wageni baadhi kama wanaigeria ni wasumbufu sana!
Vifo vingi sana mzee.. tunakufa kila siku yaani kwa visu na gun.. sio mchezo
 
Marekani na matatizo yake yote bado ni nchi ya wahamiaji, na mimi ni raia, nina haki zote za raia, na watu wanaheshimu wahamiaji, hususan wahamiaji halali wenye papers zao straight.

Pia, Marekani ni nchi kubwa sana yenye tofauti za kiutamaduni, nilipo watu wako poa na ukianza habari za racism ni kosa kubwa sana.

Watu wanafanya kazi zao, wamenunua nyumba zao, wanasomesha watoto wao. Uchumi wa Marekani wenyewe unahitaji wahamiani kuuendesha, na wahamiani wenyewe ndio sisi. Kwa hivyo ukikaa na watu waliostaarabika utafurahia kuwa Marekani. Na sehemu kubwa ya Marekani ndiyo iko hivyo, matatizo yapo sehemu chache.

Naona kuwa ingawa mimi ni mtu mweusi, nitabaguliwa zaidi kwa kuwa mwenye asili ya Tanzania nikiwa South Africa kuliko nikiwa Marekani.
Sawa kabisa hapo nimekuelewa. Na South nako ndivyo kulivyo, uchumu wake unawahitaji wageni maana niwachapa kazi kuzinda wazawa. Wazawa wanatakanwafanya kazi ndio yenye mshahara mkubwa, sasa nataka mtu East Africa, kafika South yeye kazi kazi, sasa mzawa akiona mtu anafanya kazi ile aliyoikataa yeye lazima ndani kwa ndani kunaibuka chuki ambayo itapelekea vurugu
 
Tofauti ya South Africa na Marekani ni.

1. Marekani ni nchi ya wahamiaji. Ukiondoa Native Americans, ambao kiukweli ni kama wameshafutika sasa hivi, kila mtu ni muhamiaji. Na hata Wamarekani wanaojiona wameijenga Marekani na hapa ni kwao kwa mamia ya miaka, wakianza kujimwambafy kidogo tu, wanakumbushwa hapa kila mtu muhamiaji. South Africa si hivyo. Ina wenyewe hao Wazulu na wengine ambao kiukweli pale ni kwao. Na hata wakileta figisu za kibaguzi, lakini suala la kwamba pale ni kwao ni la ukweli.

2. South Africa naona kuna tatizo kubwa la elimu na ajira. Bado kuna tatizo la "Social Mobility". Marekani leo unaweza kuja Mtanzania, kesho ukasoma, keshokutwa ukaanzisha biashara au kufanya kazi kubwa, na Wamarekani wengi wakaku celebrate.

Kwa nini? Kwa sababu kiukweli Marekani bado kuna social mobility. Mtu yeyote akiweka nia kweli ana nafasi ya kupanda ngazi. Si kwa kusoma tu. Kuna biashara, kuna usanii, kuna michezo, nafasi nyingi bado zipo na ingawa kuna watu wengi wanafulia, ukweli kwamba kuna matumaini unasaidia watu kuishi kwa matumaini kwamba kuna siku nitaitoa. Marekani ukiwa na discipline, ukiepuka madawa ya kulevya, ukiwa na akili, unaitoa. South Africa kama alivyosema Malema, watu wengi bado wana stress za apartheid, hawana elimu, hawana matumaini. Ni kazi sana kuweka ustaarabu sehemu ambayo watu hawana matumaini.
 
Tofauti ya South Africa na Marekani ni.

1. Marekani ni nchi ya wahamiaji. Ukiondoa Native Americans, ambao kiukweli ni kama wameshafutika sasa hivi, kila mtu ni muhamiaji. Na hata Wamarekani wanaojiona wameijenga Marekani na hapa ni kwao kwa mamia ya miaka, wakianza kujimwambafy kidogo tu, wanakumbushwa hapa kila mtu muhamiaji. South Africa si hivyo. Ina wenyewe hao Wazulu na wengine ambao kiukweli pale ni kwao. Na hata wakileta figisu za kibaguzi, lakini suala la kwamba pale ni kwao ni la ukweli.

2. South Africa naona kuna tatizo kubwa la elimu na ajira. Bado kuna tatizo la "Social Mobility". Marekani leo unaweza kuja Mtanzania, kesho ukasoma, keshokutwa ukaanzisha biashara au kufanya kazi kubwa, na Wamarekani wengi wakaku celebrate. Kwa nini? Kwa sababu kiukweli Marekani bado kuna social mobility. Mtu yeyote akiweka nia kweli ana nafasi ya kupanda ngazi. Si kwa kusoma tu. Kuna biashara, kuna usanii, kuna michezo, nafasi nyingi bado zipo na ingawa kuna watu wengi wanafulia, ukweli kwamba kuna matumaini unasaidia watu kuishi kwa natumaini kwamba kuna siku nitaitoa. Marekani ukiwa na discipline, ukiepuka madawa ya kulevya, ukiwa na akili, unaitoa. South Africa kama alivyosema Malema, watu wengi bado wana stress za apartheid, hawana elimu, hawana matumaini. Ni kazi sana kuweka ustaarabu sehemu ambayo watu hawana matumaini.
Fact
 
Mkuu kuna wakati huwa nafikiria kuwa watanzania tuna ubongo wa nyumbu na si wa binadamu wa kawaida. Hivi mnajua 29/10 kilitokea kitu kisicho cha kawaida kabisa hasa kwa mtu uliyekuwa mji iliyokumbwa na maandamano?Unaweza kusema kabisa ile siku mtu yeyoye ungeweza kuuawa kwa kupigwa risasi bila kosa lolote na usionekane tena. I mean kuna watu wengi kweli waliuawa wakiwa wanakwenda kununua dawa, kutafuta chakula cha watoto wakitoka kwenye misiba...... Halafu asilimia kubwa ya watu wanaendelea kuishi utadhani hakuna kilichotokea. Yaani ni nyumbu anapokamwatwa na kuliwa huku wengine wanaendelea kula bila kujali.
Mkuu yaani sisi ni nyumbu tena zaid ya nyumbu. Watz tutakuwa wa mwisho kabisa kwenye revelation, kama ni sokwe basi sisi ni zinjanthropus
 
Back
Top Bottom