Nilivyonusurika kuchomwa moto nikiwa dukani usiku wa saa 9 South Africa

Hapa ndipo huwa nasema waafrika tulipoambiwa bado hatuna uwezo wa kujitawala ilipaswa tukubali. South Africa haikuwa na uhalifu, madawa au wingi wa wageni kabla ya mwafrika kushika hatamu. Warudishe nchi kwa makaburu hawa kima!
Sababu ya watu kuwa wahalifu ni mfumo ambao mtu anautengeneza kwa manufaa yake. Fikiria security company zikifungwa wamiliki watakuwa katika hali gani. Kuna watu wanatamani uhalifu uwongezeke ili nao mitaji yao ikue.

Swala la mdawa ni swala la divide n rule, jamii wa watu weusi SA ni walevi, jamii ya ma coloured ni madawa, mzungu ana play neutral na hana side. Sasa angalia jamii gani hapa inayopata madhara makubwa
 
Really ✊🏾
 
Sawa
 
Pole kaka, south africa is bo longer safe
 
Wewe ungechomwa tu maana uwezi toka bongo ukaenda uza duka la mangi south Africa kwani Tanzania hatuna maduka?
Ukome Rudi bongo ul
South Africa halikuwa duka mfano wa duka la mangi Mkuu

Mfano wa mini-market yaani sio kiduka uchwara kama unavyoelewa Mkuu, duka ambalo jioni unahesabu milioni 3 ya kitanzania.. sio ilimradi duka tu.. chief
 
Kwa nini mkuu kwani huko ulipo na SA tafauti nini hasa
Marekani na matatizo yake yote bado ni nchi ya wahamiaji, na mimi ni raia, nina haki zote za raia, na watu wanaheshimu wahamiaji, hususan wahamiaji halali wenye papers zao straight.

Pia, Marekani ni nchi kubwa sana yenye tofauti za kiutamaduni, nilipo watu wako poa na ukianza habari za racism ni kosa kubwa sana.

Watu wanafanya kazi zao, wamenunua nyumba zao, wanasomesha watoto wao. Uchumi wa Marekani wenyewe unahitaji wahamiani kuuendesha, na wahamiani wenyewe ndio sisi. Kwa hivyo ukikaa na watu waliostaarabika utafurahia kuwa Marekani. Na sehemu kubwa ya Marekani ndiyo iko hivyo, matatizo yapo sehemu chache.

Naona kuwa ingawa mimi ni mtu mweusi, nitabaguliwa zaidi kwa kuwa mwenye asili ya Tanzania nikiwa South Africa kuliko nikiwa Marekani.
 
Huwa napenda kusikia experience ya waTz waliotoka nje kwasababu wanachokipitia nilishakipitia na mtu ambae hajawahi kutoka hawezi kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…