Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

Ibn Unuq kwa nini usifanye kazi na bongo movie kama unauwezo wa hali ya juu kwenywe utunzi? tukawa tunapata single za maana kabisaa au watafute BONGOHOODZ PICHAZ upige pesa kwa kuleta mapinduzi katika hii tasnia
Mkuu mimi nina Creativity za hali ya juu sana, waje tu, kazi5 za mwanzo nitawapa bure.

Kama ni wewe tumia tu that Idea kutengeneza movie, Copy and paste, I'll not open my mouth.
 
Nieleweshe mkuu labda kuna sehemu sijaelewa
Sawa hilo swala dogo;

Iko hivi storyA - True story inaishia pale bro JIMMY, aliponifundisha kuendesha pikipiki.

Kuanzia hapo kurudi nyuma ni kweli na hiyo picha ni mimi kweli, hata ukitaka picha nyingine unapata.

Ila pale niliposema nikachukua chuma ya mkataba kuendelea mbele ni Fictious story, Japo nimeibia ibia kidogo True Story ya jamaa yangu ametoka jela mwaka jana.


Story imeishia niko jela, nikasema Mwisho. Nimepiga na mstari.

Maelezo yaliyofuatia nimejielezea Current situation, Real life ninayaoishi kwasasa.

Je, bado kuna sehemu hujanielewa? Mimi ni open minded pia niko very Empathetic, feel free to ask, Ila tu usinikwaze [Sipendi Matusi - such kind of stuffs].
 
Story IMESHAGEUKA INAELEKEA KWENYE KULA TUNDA KIMASIARA... SIFUATILII TENA HUU UZI NI NUSU CHAI NUSU MAJI YA KANDORO
 
Umeeleweka
 
Entertainment lazima kue na creativity more than real life that most people live.
Ni kweli ila kwanini mnapotunga story kali kama hii lazima kula tunda kimasihara iwepo inamaana hamna ubunifu wowote bila kuwepo kula tunda kimasihara

Yani kama haitakuwepo fulu mpaka kula mbususu lakini lazima iguse iguse kama ulivyo igusia wewe kidogo.

Inamaana pona pona ya huyo Dada usiku huo ni Kwa sababu wewe ulikuwa umechoka na Hilo songombingo la usiku ila bila ya hivyo kwenye story unge kula mbususu πŸ˜πŸ˜…πŸ˜‚
 
Mkuu hapo Kwanza nimeonyesha self respect, ninamaumivu hivyo no sex ,mwili inatakiwa u-heel.

Pili in real life Mimi niko Emotional connected na watoto, nisingeweza kusema nilikula tunda mbele ya mtoto, natafsiri hiki kitendo kama child abuse.

Tatu Stress, ile milio ya risasi sio mchezo, si unajua mwangwi wa porini, moja inalia mara mbili 🀣.

Nne mimi sio mtu wa p**y sana kama nilivyo jimwaga humo, I respect more the Elements for Growth and Virtues.

Nice to meet you Judah Tribe πŸ™Œ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…