Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

Hapana, Shetani hayupo, kwenye hii stori kuna sehemu nilienda kwa mganga lakini niliishiwa kutapeliwa.
Sawa naona hutoi majibu sahihi unaruka ruka
ila ungeiondoa hiyo picha inajengea tafsiri mbaya machoni pa watu
Binafsi nilijua wew ni ibilisi napewa likes na ibilisi naishia kukemea moyoni🀣
 
Sawa naona hutoi majibu sahihi unaruka ruka
ila ungeiondoa hiyo picha inajengea tafsiri mbaya machoni pa watu
Binafsi nilijua wew ni ibilisi napewa likes na ibilisi naishia kukemea moyoni🀣
Kama ibilisi alikua anapata hadi muda wa kupiga picha, bhasi kinachofuatia kwasasa atafanya Tiktok Challenge 🀣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…