Nilivyonusurika kutapeliwa milioni yangu ya kwanza kuishika hapa duniani

under 18 kitambulisho cha kura nimeishia pale kwenye hili zao la chai
 
Mwaka 2008/9 walivokua wanasajiri vutambulisho vya kupigia kura 2010 ilikua kama una miaka 16/17 muda huo (2008) kwamba ikifika 2010 utakua umetimiza 18, ulikua unapewa ID. Zilikua zile za kuandikwa kwa Mkono na kufanyiwa lamination.
 
Tusiwena imani asilimia 100 na binadamu ..kuna mengi nyuma ya pazia
 
Japokua kuna watu wanasema hii ni chai, lakini kwa jicho la tatu la kijasusi hii story ni ya kweli lakini namna ya uwasilishaji wake ndio umepelekea baadhi ya wasomaji kuhisi ni mchaichai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…