Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Hii nchi imejaza vijana wababaifu na waongo waongo sana mfano mimi ni muongo niliahidi nitaendeleza kisa gues what?..........
😅😅
😅😅
Enhe tunakusikiliza we mwizi wa mashambaHii nchi imejaza vijana wababaifu na waongo waongo sana mfano mimi ni muongo niliahidi nitaendeleza kisa gues what?..........
😅😅
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌Kama mashehk wa Tanga tuHuko kila nyumba kuna mchawi, makafir ya uko kiboko
Unajua ikawaje sema enhee Niendelee la sivyo na zira mimi last born wa Clemence Mwandambo aaagh!Enhe tunakusikiliza we mwizi wa mashamba
Hahah amekimbia uzi wake tokea post #3 naona anamwaga matusi kama anamwaga radhi.Mkuu Alphamale wa JF umeisusa story yako?
Member mpya umeingia unatukana watu fala kweli wewe🤬🖕
Kuna mikoa yenye uchawi Tanzania kushinda mikoa yenye mikafir mingi, mbeya songwe ( mboz) katavi yotee, shinyanga, simiyu, geita, songea, chato😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌Kama mashehk wa Tanga tu
HahahahaMember mpya umeingia unatukana watu fala kweli wewe🤬
Hahahaha jamaa waliniambia mi Muongo.Hahah amekimbia uzi wake tokea post #3 naona anamwaga matusi kama anamwaga radhi.
Endelea ulipoishia na ukiandika story humu usiwe unajibu comment wewe focus na story comment utajibu ukishamaliza story kua km mcTobby bandika bandua andika tu shusha usisome comment wala kujibu comment wewe shusha story naona ni mgeni ndio maanaHahahaha jamaa waliniambia mi Muongo.